Wadau humu ndani nisaidieni. Nimeanzisha day care centre kusaidia wamama wanaosumbuka na mahala pa kushinda watoto sababu ya matatizo ya maisha na lengo lingine kufundisha wasichana maadili.
Napenda kujua sheria inasemaje au niende wapi kwa msaada maana nimeambiwa siruhusiwi kufanya hivyo na nifunge kituo sababu ni eneo la makazi NA NI NANI MWENYE MAMLAKA YA KUFUNGA IWAPO KITUO KINAFANYA KAZI KWA MIAKA 2. Mimi nilifikiri nalolifanya ni haswa kwa wakazi. Niliandikisha mradi na selikali ya mtaa eneo hilo inatambua uwepo wa kituo. Sijaanza hata kupata mrejesho wa nilichoweka, serikali ya kata inasema nifunge sio kwa uchafu ila tu eti ni eneo la makazi. Mimi nilona elimu nayotoa inagusa jamii, msaada jamani.