Kufungua day care sheria inapatikana wapi?

MWAMOSHI

Senior Member
Joined
Feb 25, 2010
Posts
103
Reaction score
22
Wadau humu ndani nisaidieni. Nimeanzisha day care centre kusaidia wamama wanaosumbuka na mahala pa kushinda watoto sababu ya matatizo ya maisha na lengo lingine kufundisha wasichana maadili.

Napenda kujua sheria inasemaje au niende wapi kwa msaada maana nimeambiwa siruhusiwi kufanya hivyo na nifunge kituo sababu ni eneo la makazi NA NI NANI MWENYE MAMLAKA YA KUFUNGA IWAPO KITUO KINAFANYA KAZI KWA MIAKA 2. Mimi nilifikiri nalolifanya ni haswa kwa wakazi. Niliandikisha mradi na selikali ya mtaa eneo hilo inatambua uwepo wa kituo. Sijaanza hata kupata mrejesho wa nilichoweka, serikali ya kata inasema nifunge sio kwa uchafu ila tu eti ni eneo la makazi. Mimi nilona elimu nayotoa inagusa jamii, msaada jamani.
 
Shortly" ni kwamba serikali imetenga maeneo kwa kuyagawa,
1.Makazi
2.Biashara
3.Huduma za jamii(shule,nyumba za ibada,hospital
Ina maana kama shughuli yako iko kibiashara zaidi fuata taratibu watakuelewesha inavyotakiwa.
 
Mwaka jana nilikuwa na mpango kama huo wako kwa kufungua day care,nilielekezwa Ustawi wa Jamii na nikapewa maelezo mengi tu na masharti kibao,nikashindwa kufungua ndio najipanga nifanye in near future,hii ndio Tanganyika,kila kitu SIASA hata kama kinasaidia jamii,kosa liko wapi sasa.? Huo wanaoita upangaji wa matumizi ya ardhi,bado siuoni,kikubwa ni wewe ulikuwa na mkono mfupi tu,ungenyosha mambo yote yangeisha,au labda kuna jirani yako anataka kufungua kituo karibu,hivo kaovertake..!

Back
Top Bottom