Mussa_hassan
Member
- Oct 6, 2017
- 52
- 42
Boo
Hii kitu unazan ina shida bas kufunguaa.
Ata sio shida
Ata kuwapata watu sio shida.
Shida ipo kwenye kumanage server
Hapo ndipo kazi ilipo
Pesa ya kumanage server itakayo tunza haya ma messej yote na iwe na nguvu ya ku handle milions of sms per secend.
Hapa ndo huwa pagumu.
Ukiwa na hii pesa unaanzisha kitu chenye unapenda