ukipata hela nunua kikabati cha Aluminium kama hili hapa chini
View attachment 1255475
Then hilo kabati nunua vile viglass transparent vinavyoonyesha ndani vina nini then tengeneza juice ya sample
weka ndani ya hilo kabati kama sampo ili mteja aone unachouza kinafananaje
Then tengeneza juice zako sasa tofauti kadri mtaji wako utavyokuruhusu,weka kwenye vidumu vya litre 5
hifadhi ndani ya Fridge lako.
Najua nyumbani hukosi jiko la gesi,lichukue njoo nalo kazini nunua TREY 1 la mayai ya kienyei na Trey 1 lamayai ya kisasa
then weka ndani ya kabati...Mteja akija kununua Juice muulize "utapenda juice peke ake au na mayai"??
Akikujibu juice peke ake mpe
Akikujibu na mayai vizuri changamka gonga mayai mawili atayochagua,kwenye gesi dk2 yai limeiva unamuuzia
Utapiga hela sana sana
Hakikisha una ka redio kadogo muda wote ofisini piga slow music
Hakikisha ofisi yako ni safi hadi inzi waiogope maana unafanya biashara Rafiki kwa wadudu.
Hakikisha una T.shirt Nyeupe na iwe ndio nguo yako ya kazini,chini vaa vyovyote
Usisahau tissue kila meza.
USAFI
USAFI
USAFI
USAFI
jiongeze kila uonapo kitu wateja wanaulizia kama una afford "WEKA"