Wadau naomba mwenye uelewa na microfinance anijuze..yafuatayo..
1.unaitaji mtaji wa kiasi gan kisheria kufungua microfinance ya kutoa mikopo ya mda mfupi isiyozid miez mitatu.
2.procedure zkoje..
3.kwa mwenye ushauri au mwenye uzoefu kuhusu hii business naomba anishauri chochote..
Mtaji wowote unaweza kuanza nao.. nenda kasajili brela , halafu ukachukue leseni bot na wizara ya viwanda na biashara.
Mtaji wowote unaweza kuanza nao.. nenda kasajili brela , halafu ukachukue leseni bot na wizara ya viwanda na biashara.
Kumbe uwa una ushauri mzuri unahamua tu kujitoa ufahamu!! hata m 10 unaweza ruhusiwa?
Kumbuka microfinance hawaruhusiwi kuchukua savings za watu. Ni wewe unaetoa pesa zako hata milioni kumi unaweza anza nayo. Mi nafanya hii biashara .[/QUOTE
asante boss.. kwa ushauri..
Habari Jonas, Kuanzisha na kuendesha microfinance ni suala mtambuka, kwa bahati mbaya hakuna sheria ya microfinance ila sera ipo. Hivyo microfinance huongozwa na sheria ya taasisi za fedha na sheria ya BOT.
Kuna hatua tatu kuu ili uweze kuwa na microfinance.
1. Kuisajili kama kampuni itakayokuwa na shughuli za kutoa mikopo
2. Kuisajili kampuni kama mlipa kodi (kupata TIN)
3. Kupata leseni wizara ya viwanda na biashara.
Kila hatua ina maelezo na technicalities zake nyingi.
Waone business consultant kama sisi (ANJOA COMPANY LIMITED) ambao tunatoa microfinance consultancy services.
wasiliana nasi kwa namba 0759-692024, Email: info@anjoa.co.tz au fika ofisini kwetu kinondoni manyanya -Dar es Salaam.
Twilumba; Usiwe mwepesi kuongea. hapa tunapeana brief kwa sababu yatakuwa maelezo marefu sana ambayo sitaweza kuyaandika kwa sababu ya muda na najua hata wewe hutaweza kuyasoma yote, hivyo kama utahitaji tuone, ushauri ni bure. na kama utahitaji huduma zetu, ushauri utakwenda kwenye vitendo na hapo utaelewa zaidi.
Asante.Kumbuka microfinance hawaruhusiwi kuchukua savings za watu. Ni wewe unaetoa pesa zako hata milioni kumi unaweza anza nayo. Mi nafanya hii biashara .
Nikikupa hiyo kazi, itanigharimu sh ngapi za Kitanzania?
Malila, Gharama ziko kweye category mbalimbali kutegemea na mambo kadhaa ikiwemo share capital. Ila unashauriwa kwa MFI usipungue 10 m. ambayo kwa hatua ya company registration tu consultancy fee ni laki tatu, hapo zitaongezeka pia gharama za kilipia brela. Pia kuna mambo mengine sio lazima tufanye sisi, tunaweza tukakupa mwongozo ukafanya mwenyewe ukapunguza gharama, kwa hayo yote na mengine, fika ofisini. karibu.