Kufungua Microfinance

Kufungua Microfinance

jonas2011

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
311
Reaction score
122
Wadau naomba mwenye uelewa na microfinance anijuze yafuatayo:

1. Unahitaji mtaji wa kiasi gani kisheria kufungua microfinance ya kutoa mikopo ya muda mfupi isiyozid miezi mitatu.
2. Procedure zikoje
3. Kwa mwenye ushauri au mwenye uzoefu kuhusu hii business naomba anishauri chochote.
 
Wadau naomba mwenye uelewa na microfinance anijuze..yafuatayo..
1.unaitaji mtaji wa kiasi gan kisheria kufungua microfinance ya kutoa mikopo ya mda mfupi isiyozid miez mitatu.
2.procedure zkoje..
3.kwa mwenye ushauri au mwenye uzoefu kuhusu hii business naomba anishauri chochote..

Mtaji wowote unaweza kuanza nao.. nenda kasajili brela , halafu ukachukue leseni bot na wizara ya viwanda na biashara.
 
Kumbe uwa una ushauri mzuri unahamua tu kujitoa ufahamu!! hata m 10 unaweza ruhusiwa?
 
Kumbuka microfinance hawaruhusiwi kuchukua savings za watu. Ni wewe unaetoa pesa zako hata milioni kumi unaweza anza nayo. Mi nafanya hii biashara .
 
Habari Jonas, Kuanzisha na kuendesha microfinance ni suala mtambuka, kwa bahati mbaya hakuna sheria ya microfinance ila sera ipo. Hivyo microfinance huongozwa na sheria ya taasisi za fedha na sheria ya BOT.
Kuna hatua tatu kuu ili uweze kuwa na microfinance.
1. Kuisajili kama kampuni itakayokuwa na shughuli za kutoa mikopo
2. Kuisajili kampuni kama mlipa kodi (kupata TIN)
3. Kupata leseni wizara ya viwanda na biashara.
Kila hatua ina maelezo na technicalities zake nyingi.
Waone business consultant kama sisi (ANJOA COMPANY LIMITED) ambao tunatoa microfinance consultancy services.
wasiliana nasi kwa namba 0759-692024, Email: info@anjoa.co.tz au fika ofisini kwetu kinondoni manyanya -Dar es Salaam.
 
Unashindwa nn kumshauri hapa ili na wengine wanufaike? Kama unaona si haja kuweka bayana hapa pia huna haja ya kutumia jukwaa hili kujutangaza bure. Lipia kwanza ndo utoe matangazo yako.
 
Twilumba; Usiwe mwepesi kuongea. hapa tunapeana brief kwa sababu yatakuwa maelezo marefu sana ambayo sitaweza kuyaandika kwa sababu ya muda na najua hata wewe hutaweza kuyasoma yote, hivyo kama utahitaji tuone, ushauri ni bure. na kama utahitaji huduma zetu, ushauri utakwenda kwenye vitendo na hapo utaelewa zaidi.
 
Nikikupa hiyo kazi, itanigharimu sh ngapi za Kitanzania?
 
Malila, Gharama ziko kweye category mbalimbali kutegemea na mambo kadhaa ikiwemo share capital. Ila unashauriwa kwa MFI usipungue 10 m. ambayo kwa hatua ya company registration tu consultancy fee ni laki tatu, hapo zitaongezeka pia gharama za kilipia brela. Pia kuna mambo mengine sio lazima tufanye sisi, tunaweza tukakupa mwongozo ukafanya mwenyewe ukapunguza gharama, kwa hayo yote na mengine, fika ofisini. karibu.
 
ANJOA, kuna mdau aliongelea hapa kuhusu gharama mkubwa mnazocharge wateja wenu ,je mlifanyia kazi madai yake? Hiyo consultancy fee inajumuisha na kufatilia mpk atakaporegister MFI na kufanikiwa kupata documents zote zinazohusu MFI.
 
Zavi, Tumelijibu suala hilo mara nyingi, cha ajabu wanaosema ni walewalena wala hawajawahi kuwa wateja wetu, tunaamini wana ajenda zao ila kwa faida ya wengine tutaendelea kutoa maelezo. Kuna msemo unasema If you never tested other mother's cooking you may think your mother is the best cooker in the world. tafsiri (kama hujawahi kuonja pishi lingine isipokuwa pishi la mama yako unaweza ukadhani mama yako ndio mpishi bora duniani.) Mtu anaposema kampuni yetu in gharama kubwa anatulinganisha na kampuni gani? fanya hiyo comparison tuone. shida ya waswahili wanaongea bila research.
 
Malila, Gharama ziko kweye category mbalimbali kutegemea na mambo kadhaa ikiwemo share capital. Ila unashauriwa kwa MFI usipungue 10 m. ambayo kwa hatua ya company registration tu consultancy fee ni laki tatu, hapo zitaongezeka pia gharama za kilipia brela. Pia kuna mambo mengine sio lazima tufanye sisi, tunaweza tukakupa mwongozo ukafanya mwenyewe ukapunguza gharama, kwa hayo yote na mengine, fika ofisini. karibu.

Gharama zenu ni kubwa kupita gharama halisi za kufungua kampuni..
 
laki si pesa;sema ni kubwa kuliko kampuni fulani ndipo utaeleweka. otherwise hoja inakosa mashiko.
 
Malila, Gharama ziko kweye category mbalimbali kutegemea na mambo kadhaa ikiwemo share capital. Ila unashauriwa kwa MFI usipungue 10 m. ambayo kwa hatua ya company registration tu consultancy fee ni laki tatu, hapo zitaongezeka pia gharama za kilipia brela. Pia kuna mambo mengine sio lazima tufanye sisi, tunaweza tukakupa mwongozo ukafanya mwenyewe ukapunguza gharama, kwa hayo yote na mengine, fika ofisini. karibu.

Hiyo 10M ni gharama za kufungulua hiyo MFI au ni pamoja na mtaji? Naomba uniambie kuanzia mwanzo mpaka napata hati yangu ya MFI inagharimu kiasi gani kwa makisio. Maana hapo juu hujajibu kitu.
 
Back
Top Bottom