Malila; Malila 10 m ni mtaji wako. Nakushauri kama uko serious fika ofisini, naona pengine maandishi huyaelewi au pengine ni brief sana. tutaongea kwa mdomo na kwa kirefu, au piga simu. Ushauri ni bure. Utashauriwa bure then unaruhusiwa kutafuta unapoona nafuu kwako.
Hapo naanza kukupata,
Nataka makisio ya kazi ya usajiri, toka mwanzo mpaka mwisho ili nipate picha kama ninaweza, au kama hapa jukwaani unaogopa, nipe jibu kwa pm. Kwa sasa niko Mtwara mpaka mwisho wa mwezi huu.
Mimi ni mmoja wapo niliyesaidiwa kufungua MFI na ANJOA
Mimi ni mmoja wapo niliyesaidiwa kufungua MFI na ANJOA
Nadhani ni vigumu kwa microcredit yenye 10m as capital, kuwa na wenye elimu kubwa kama employees/managers.Pia Bank statement ya at least director mmoja, ID na CV za directors na senior managers, na barua za serikali ya mtaa.