Kufungua Microfinance

Kufungua Microfinance

Malila; Malila 10 m ni mtaji wako. Nakushauri kama uko serious fika ofisini, naona pengine maandishi huyaelewi au pengine ni brief sana. tutaongea kwa mdomo na kwa kirefu, au piga simu. Ushauri ni bure. Utashauriwa bure then unaruhusiwa kutafuta unapoona nafuu kwako.
 
Nami niongeze kitu ,wizara ya viwanda na biashara huchaji sh laki 6 na wao ndio hupeleka hayo maombi BOT , ili upate leseni ya aina hii ya company, gharama za usajili zinazolipwa brela ziko wazi na kuna uzi nimezianisha kwa mujibu wa brela na uzoefu . vitu utavyoambatanisha wakati wa kuomba leseni ni pamoja na copy ya certificate of incorporation,memorandum and articles of association, lending policy ya company ---- na TIN Malila
 
Pia Bank statement ya at least director mmoja, ID na CV za directors na senior managers, na barua za serikali ya mtaa.
 
Malila; Malila 10 m ni mtaji wako. Nakushauri kama uko serious fika ofisini, naona pengine maandishi huyaelewi au pengine ni brief sana. tutaongea kwa mdomo na kwa kirefu, au piga simu. Ushauri ni bure. Utashauriwa bure then unaruhusiwa kutafuta unapoona nafuu kwako.

Hapo naanza kukupata,

Nataka makisio ya kazi ya usajiri, toka mwanzo mpaka mwisho ili nipate picha kama ninaweza, au kama hapa jukwaani unaogopa, nipe jibu kwa pm. Kwa sasa niko Mtwara mpaka mwisho wa mwezi huu.
 
Mimi ni mmoja wapo niliyesaidiwa kufungua MFI na ANJOA
 
Mimi ni mmoja wapo niliyesaidiwa kufungua MFI na ANJOA

Nimemwomba anipe makisio ya kazi nzima hajanipa majibu mpaka leo, kama anaogopa hapa jamvini, nimempa option ya PM, nako Pm haendi, anyway ndio biashara za Kibongo.

Je wewe ilichukua kiasi gani mpaka unakamilisha usajiri? Nipe kwa pm
 
Malila: wewe hatuelewani kwenye maandishi tukakwambia tupigie sim au fika ofisini lakini hupigi unalalama tu. Kwa uzoefu wetu wa kazi hii mteja wa leo tunamjua. wengine tunaelimishana ili kuwa wateja wa kesho na ndio maana hatuchoki kumjibu kila mtu. Ungekuwa mteja wa leo ungeshapiga simu. kwa kuwa ni wewe ni mteja wa kesho ndio maana bado unacheza na thread tu.
 
Tupo wote tukikimbizana &maisha ila tunapaswa kuwa jasiri zaidi wakati huu/nipm kwani nimetuma sms ktk PM YENU ANJOA V/MORNING TANZANIA-DAR ES SALAAM....
 
ANJOA nilikuwa najipanga kidogo ila naweza kuzungumza nawe kesho mapema ikiwezekana nitumie PM-NAMBA ZAKO MKUU
WAKO KATIKA UJENZI-MJASILIAMLI WA MUSOMMMA...
 
Pia Bank statement ya at least director mmoja, ID na CV za directors na senior managers, na barua za serikali ya mtaa.
Nadhani ni vigumu kwa microcredit yenye 10m as capital, kuwa na wenye elimu kubwa kama employees/managers.
 
Back
Top Bottom