Kufungua tawi la chadema udom

Kufungua tawi la chadema udom

Very brilliant. Naombeni tu msijifunze ufisadi kwenye kuuza vyumba na vitanda kwa bei za juu kwa wanafunzi wenzenu kama ilivyo pale mlimani na vyuo vingine vya dar!
Suala la vyumba bado halijawa tatizo kubwa sana hapa udom labda kwa vijana wa kifiosadi wenyewe kujipendekeza kwa mawarden ili wapingiwe maeneo wanayoyataka wao, tofauti na hapo hautasikia mtu amekosa chumba labda usikie mtu amepangiwa bweni asilolitaka mwenyewe
 
Kweli sasa wana udom mnaonekana kukomaa nafahamu kwamba siasa haziruhusiwi mazingira ya chuoni lakini nje ya chuo ni ruksa so i hope there will be no any stambling block in your endeavour kwa sababu ccm wana matawi karibu vyuo vyote na nakumbuka jk miaka ya hivi karibuni alizindua tawi la ccm chuo cha mzumbe. Mimi niko mitaa ya kati dodoma ntaomba mnipe kazi ya ukatibu mwenezi wa tawi na ntaifanya kazi hiyo kwa moyo wa kujitolea zaidi ili kukikuza chama... Ushauri mwingine naomba baada ya tawi hilo kufunguliwa juhudi zifanyike kuunda umoja wa wanachama wa cha chadema wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa dodoma ukijumuisha vyuo vya udom, st. John, mipango, cbe, madini na vingine kikiwemo chuo kipya cha loyola kinachojengwa eneo la nzuguni nje kidogo na manispaa ya dodoma. Lengo ni kuhakikisha mwaka 2015 tunaizika CCM rasmi.
 
Kweli sasa wana udom mnaonekana kukomaa nafahamu kwamba siasa haziruhusiwi mazingira ya chuoni lakini nje ya chuo ni ruksa so i hope there will be no any stambling block in your endeavour kwa sababu ccm wana matawi karibu vyuo vyote na nakumbuka jk miaka ya hivi karibuni alizindua tawi la ccm chuo cha mzumbe. Mimi niko mitaa ya kati dodoma ntaomba mnipe kazi ya ukatibu mwenezi wa tawi na ntaifanya kazi hiyo kwa moyo wa kujitolea zaidi ili kukikuza chama... Ushauri mwingine naomba baada ya tawi hilo kufunguliwa juhudi zifanyike kuunda umoja wa wanachama wa cha chadema wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa dodoma ukijumuisha vyuo vya udom, st. John, mipango, cbe, madini na vingine kikiwemo chuo kipya cha loyola kinachojengwa eneo la ihumwa nje kidogo na manispaa ya dodoma. Lengo ni kuhakikisha mwaka 2015 tunaizika CCM rasmi.
 
UDOM ni chuo kitakachozidi udsm kwa mbali.bad image ni kwa sababu ya propaganda za ccm.tatizo kubwa lipo udsm,ambako vijana wengi ni wanafiki,na kama walimu wao umaarufu wao umebaki wa kihirtoria zaidi.mimi nasoma hapo.hongerb udom onyesheni mfano
 
Wazo la kufungua tawi ni nzuri.

Lakini nina maswali kadhaa, umeandika tawi litafunguliwa hapo mjini, je hakuna tawi lingine hapa mjini? Je mmewashirikisha viongozi wa chama hapo dodoma? Kama tayari wao wanasemaje? Maana isitokea wao wanastrategy tofauti na za kwenu.

Ombi langu, naomba sana wasomi wa hapo dodoma muwe chachu ya mabadiliko hapa dodoma. Ccm wanafikiri dodoma ni mji wao kwa sasa. Zaidieni wananchi hapa ili wapate kujuia haki zao na jinsi gani ya kuzipata. Wajue jinsi viongozi wa serikali wanavyofanya kazi na pale ambapo hawafanya kazi kwa manufaa ya wananchi wawajibishwe.

Kila la heri
 
hata DUCE walizidiwa nguvu na kijana anaitwa LUDOVICK JOSEPH, hadi uongozi wa chuo ukaingilia kwa amri ya makamba wakamfuta asigombee.aliyefanikisha mradi huu haramu ni Dr. THEREZYA HUVISA, ambaye alikuwa dean of students,na aliahidiwa ubunge kupitia vyuo vikuu,na sasa amekuwa waziri wa mazingira.wameweka pandilizi la ccm duce na sasa wanafunzi wananyanyasika
 
Kweli sasa wana udom mnaonekana kukomaa nafahamu kwamba siasa haziruhusiwi mazingira ya chuoni lakini nje ya chuo ni ruksa so i hope there will be no any stambling block in your endeavour kwa sababu ccm wana matawi karibu vyuo vyote na nakumbuka jk miaka ya hivi karibuni alizindua tawi la ccm chuo cha mzumbe. Mimi niko mitaa ya kati dodoma ntaomba mnipe kazi ya ukatibu mwenezi wa tawi na ntaifanya kazi hiyo kwa moyo wa kujitolea zaidi ili kukikuza chama... Ushauri mwingine naomba baada ya tawi hilo kufunguliwa juhudi zifanyike kuunda umoja wa wanachama wa cha chadema wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa dodoma ukijumuisha vyuo vya udom, st. John, mipango, cbe, madini na vingine kikiwemo chuo kipya cha loyola kinachojengwa eneo la ihumwa nje kidogo na manispaa ya dodoma. Lengo ni kuhakikisha mwaka 2015 tunaizika CCM rasmi.
 
Salaam kwenu nyote wapenda maendeleo wa dhati hapa Tanzania. Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba sisi wanajumuiya ya Chuo Kikuu Cha Dodoma ambao ni wafuasi wa dhati wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO- CHADEMA, tumeamua kufungua tawi letu ambalo litaendelea kutuunganisha na kuweka pamoja nguvu zetu ili kuleta mabadiliko ya kweli.

Tawi hili linakusudiwa kuwa hapo maeneo ya mjini ambapo tutapangisha ofisi nzuri na tutawajibika kuilipia pango kwa muda wote. Litafunguliwa mwanzoni mwa mwezi januari 2011.

CHADEMA ina wafuasi wengi sana katika hiki chuo tofauti sana na wengine wanavyodhani.

Ninaomba kutoa uthibitisho wa hili kama ifuatavyo:

1. Wakati wa kampeni uongozi wa Chuo uliamua kutoa mabasi yanayotumiwa na wafanyakazi ili yawapeleke wafanyakazi kuhudhuria mkutano wa Kikwete uliofanyika hapa Dodoma.Tofauti na uongozi wa chuo ulivyotarajia mabasi yale hayakupata watu katika njia zote yalikotumwa.

Kwa mfano, katika eneo la Kisasa wanakoishi walimu mabasi mawili yale makubwa hayakuambulia hata mwalimu mmoja, njia ya Nkuhungu basi la watu 65, lilipata watu wawili tu na njia ya Mipango basi lilipata mtu mmoja tu.

2. Katika chaguzi zote za uongozi hapa chuoni ni kosa kubwa sana kwa mgombea kubainika kwamba yeye ni mwa CCM.

Kwani kitakachompata ni kukosa kura, mifano ni hii hapa kuna kijana anaitwa Tery yule alisoma risala ya kipuuzi siku Kikwete amaetangazwa kuwa mgombea wa CCM.

Risala hiyo ilipewa jina la risala ya wanafunzi wa elimu ya juu, huyu Tery aligombea nafasi ya uraisi wa serikali ya wanafunzi, kamuulizeni kilichompata ni nini, kwani kura hazikutosha.
Mfano wa piili unawahusu Wahadhiri walioenda kugombea kwa tiketi ya CCM, katika majimbo ya Manyoni mashariki na mwingine katika jimbo lililokuwa la Samwel Chitalilo, wote hawa waligombea uongozi wa UDOMASA - CHAMA CHA WANATAALUMA UDOM, walikosa kura si kwa kukosa uwezo bali tu kule kufungamana na CCM.

3. Serikali ya wanafunzi kushikiriwa na vijana machachari wa Chadema.

4. Mijadala mikali katika mabasi na maeneo ya ofisi inayowahusisha wafanyakazi wa chuo yote imekuwa ikiipinga CCM kwa kiwango kikubwa na kuifagilia CHADEMA.

5. Kipindi cha kampeni wafanyakazi wengi na kwa uwazi waliiunga mkono CHADEMA, kutokana na hali hii hakuna mwana CCM aliyekuwa tayari kuitetea ccm hata kwa wale walioenda kugombea kwa tiketi ya CCM hawakuweza kukabiliana na nguvu kubwa ya Chadema.

6.Kauli ya kikwete kuwaasa wana UDOM wasitumiwe na wanasiaasa baada ya kubaini kwamba CHADEMA ina nguvu kubwa sana hapa mpaka imefikia hali ya kuhitaji kufanya mkakati madhubuti wa kudhibiti halii hii kupitia uongozi wa juu wa chuo na kuleta makada wa CCM kuja kunusuru hali.

7. UDOM kuwa ndani ya kata iliyochukuliwa na CHADEMA- kata ya Dodoma Makulu, kuna mchango mkubwa sana wa wana UDOM katika kufanikisha hili.

8. Wafanyakazi wa UDOM kusafiri kwenda mlimani yaani UDSM kumpigia kura mnyika hili ni kundi kubwa sana la vijana waliomaliza chuo hivi karibuni ambao wameajiliwa hapa UDOM, ilikuwa ni uzalendo wa hali ya juu sana kufanikisha hili na pasipo malipo yoyote zaidi ya kupigania haki ya WATANZANIA.

Hivyo basi kutokana na hoja hizo nane tumebaini kabisa ya kwamba Wana CHAADEMA tupo wengi sana na hivyo tunahitaji sehemu yetu itakayotuunganisha na kutupatia nafasi ya kujadiliana mambo yetu, tawi hili litakuwa kiungo muhimu kati ya Walimu, wanafunzi na wafanyakazi wengine waendeshaji.

RAI YETU
Rai yetu kwenu ni juu ya kuhitaji kuungwa mkono katika mchakato huu, si uhitaji wa mali bali hasa mchango wa mawazo na ushauri kwani ni suala nyeti na ambalo halitawafurahisha wengi lakini tumeamua kufanya haya si kwa kushawishiwa na uongozi wa juu au wa mkoa wa CHADEMA.

Pia kwa Wana CHADEMA wenzetu tunaomba tusaidiane klupambana na propaganda mbaya inayojaribu kuaminisha watanzania wote kwamba wafanyakazi na wanafunzi wote wa Udom ni CCM, ninajua wengine mnafanya hivyo kwa hasira baada ya kuzidiwa na nguvu ya propaganda na wengine ni kutokana na kukosa taarifa sahihi.

Tunatambua kwamba CCM wanawagawia kadi wanafunzi hadi mabwenini tena kwa kuwaandika majina pasipo ridhaa yao na kuwaomba wawape picha passport size wawaletee kadi.
Pia wameweka viongozi wao wa matawi katika mabweni, licha ya jitihada hizi wanazozifanya bado upinzani una nguvu kubwa kwani wanafunzi wanaelewa nini ccm inafanya, na wale wachache wanaojiunga na ccm hapa chuoni ni kutokana na mtazamo potofu wa kudhani kwamba mtu hawezi kuajiriwa mpaka uwe na kadi ya CCM.

Mtazamo huu tumepambana nao sana tena kwa kutoa mifano tukionesha watu walioamini hivyo huku mpaka wakati huu hali zao bado ni mbaya sana.

Kimsingi huu ni mtazamo potofu amabao unawatafuna baadhi ya wasomi wetu katika vyuo vingi na hao ndio wanakuja kuwa watu kama Benson Bana kwani hata anavyoongea amejaa kujipendekeza zaidi ili akumbukwe, nadhani mlimuona jana kwenye kipima joto ITV,alivyokuwa anajikanyaga kuonesha namna ambavyo watanzania wana hali nzuri mpaka kufikia uwezo wa kuendesha magari.

Ninaomba msitishwe na matamko yanayotolewa na baadhi ya watu yakihusisha sisi UDOM, mengine ni propaganda za ccm, mengine ni ya kutungwa na vijana wa CCM ambao wanasoma hapa na hata makao makuu CCM wanafahamu kwamba wapo hapa, hivyo basi ni lazima waoneshe kwamba wanafanya kazi kubwa.

CHADEMA itaendelea kustawi hapa Udom hata kama viongozi wa ngazi ya juu wangefanya nini.

Mungu ibariki CHADEMA , Mungu ibariki Tanzania na Viongozi wote wa CHADEMA​
#

Vijana pigeni kazi mwanzo mzuri sana. kila la kheri!!!
 
Kweli sasa wana udom mnaonekana kukomaa nafahamu kwamba siasa haziruhusiwi mazingira ya chuoni lakini nje ya chuo ni ruksa so i hope there will be no any stambling block in your endeavour kwa sababu ccm wana matawi karibu vyuo vyote na nakumbuka jk miaka ya hivi karibuni alizindua tawi la ccm chuo cha mzumbe. Mimi niko mitaa ya kati dodoma ntaomba mnipe kazi ya ukatibu mwenezi wa tawi na ntaifanya kazi hiyo kwa moyo wa kujitolea zaidi ili kukikuza chama... Ushauri mwingine naomba baada ya tawi hilo kufunguliwa juhudi zifanyike kuunda umoja wa wanachama wa cha chadema wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa dodoma ukijumuisha vyuo vya udom, st. John, mipango, cbe, madini na vingine kikiwemo chuo kipya cha loyola kinachojengwa eneo la ihumwa nje kidogo na manispaa ya dodoma. Lengo ni kuhakikisha mwaka 2015 tunaizika CCM rasmi.
 
Ahsante sana miradibubu. Mimi ni mwalimu UDOM na ni mfuasi wa Chadema. Ningependa sana kujiunga kwa kuwa na kadi lkn naogopa maana uongozi wa wanajikomba sana kwa JK. Nisijetengwa. Wamekimbilia kumpa Degree na sasa wanajenga JK Square kama Nyerere Square. Tuko pamoja. Je tawi linaanzishwa na wanafunzi au wakufunzi?
Bigup and goodluck!!
 
Kweli sasa wana udom mnaonekana kukomaa nafahamu kwamba siasa haziruhusiwi mazingira ya chuoni lakini nje ya chuo ni ruksa so i hope there will be no any stambling block in your endeavour kwa sababu ccm wana matawi karibu vyuo vyote na nakumbuka jk miaka ya hivi karibuni alizindua tawi la ccm chuo cha mzumbe. Mimi niko mitaa ya kati dodoma ntaomba mnipe kazi ya ukatibu mwenezi wa tawi na ntaifanya kazi hiyo kwa moyo wa kujitolea zaidi ili kukikuza chama... Ushauri mwingine naomba baada ya tawi hilo kufunguliwa juhudi zifanyike kuunda umoja wa wanachama wa cha chadema wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa dodoma ukijumuisha vyuo vya udom, st. John, mipango, cbe, madini na vingine kikiwemo chuo kipya cha loyola kinachojengwa eneo la ihumwa nje kidogo na manispaa ya dodoma. Lengo ni kuhakikisha mwaka 2015 tunaizika CCM rasmi.
 
Kweli sasa wana udom mnaonekana kukomaa nafahamu kwamba siasa haziruhusiwi mazingira ya chuoni lakini nje ya chuo ni ruksa so i hope there will be no any stambling block in your endeavour kwa sababu ccm wana matawi karibu vyuo vyote na nakumbuka jk miaka ya hivi karibuni alizindua tawi la ccm chuo cha mzumbe. Mimi niko mitaa ya kati dodoma ntaomba mnipe kazi ya ukatibu mwenezi wa tawi na ntaifanya kazi hiyo kwa moyo wa kujitolea zaidi ili kukikuza chama... Ushauri mwingine naomba baada ya tawi hilo kufunguliwa juhudi zifanyike kuunda umoja wa wanachama wa cha chadema wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa dodoma ukijumuisha vyuo vya udom, st. John, mipango, cbe, madini na vingine kikiwemo chuo kipya cha loyola kinachojengwa eneo la ihumwa nje kidogo na manispaa ya dodoma. Lengo ni kuhakikisha mwaka 2015 tunaizika CCM rasmi.
 
Big up kazeni kamba vijana! Ila mjiandae kwa mikikimikiki ambayo inaweza
tokea kwenye serikali ya ccm. Vizingiti kibao na propaganda kibao! ila kazeni
buti tu. nguvu ya umma ipo pamoja na nyinyi
 
Back
Top Bottom