Kufunguliwa na kuangaziwa nuru ya kweli (Spirit Science)

Kufunguliwa na kuangaziwa nuru ya kweli (Spirit Science)

Wewe ni wa Kupuuzwa Unaabudu ushetani.
Wewe ni uzao wa Shetani mpinga ubinadamu na maadili yake.
Siwezi kuendelea kubishana na wewe. Kwanza huna evidence kuhusu unacho kiongea. Huna uhakika wa uwepo wa mungu wa kuabudiwa, huna uhakika wa uwepo wa shetani; zaidi ya kufuata mafundisho uliyo anza kufundishwa tangu utotoni. Kuhusu maadili wa binadamu naomba usome Atlantis. kwa kukusaidia.
 
Toa thread yako ya hovyo hapa. Mtu anakubaka wiki nzima kapoteza Uungu na katawaliwa na Shetani . Unamlinganidha na Mtu mwenye Uungu na maadili ya kibinadamu anakupigania na kukuokoa ... Unawaona wote sawa.

Unamuona Mungu na Shetani wote sawa.
Kama wewe sio Shetani Wewe ni nani? Jishtukie Mkuu. Toa ujinga wako wa kuchangsnya watu na hicho kiakili chako.
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta. Lakini nimetoa maelezo hapo juu na kukueleza kuwa Human kind is God. Kisha nikakueleza ni namna gani uungu ulivyo. God is Love. Mtu mwenye upendo hawezi akamtendea mtu kitu kibaya. Mtu mwenye upendo atakuwa na furaha katika moyo wake. Mtu mwenye upendo anauwezo mkubwa wa kuwasiliana na nafsi yake. Mtu mwenye upendo anapofanya meditation huzaa matunda. Mtu mwenye upendo anapofanya Lucid Dream hupata matunda. Hatimaye anapoendelea kuwa na upendo anapata knowledge, baada ya knowledge anapata skill baada ya skill anapata Experience baada ya experience anapata Wisdom.

Wisdom is everything. Anapata nguvu ya kuweza kufanya miujiza, kuumba nk.
Ufalme wa mungu hauji kwa kutazama tazama upo kule au upo hapa; ufalme wa mungu upo ndani yenu.

Pata elimu upate maarifa.
 
Kubali kuwa huru ufunguliwe. Maisha ni mafupi sana. Ukijua ukweli utakuwa huru kabisa. Kifungo cha dini ni kibaya sana maana unafungwa nafsi na mwili. Unakamatwa akili zako. Kabla maisha yako hayajaisha unanafasi kubwa sasa ya kujua ukweli. Acha kudangaywa simama kwa miguu yako. Hakuna wa kukushika mkono ni wewe na jitihada zako. Ukiwa tayari kuwa huru utakuwa huru na ukiamua kukaa kwenye kifungo utabaki ndani ya kifungo.

Mwili wa binadamu ni sandu la nafsi. Nafsi inaishi milele. Upo na nafasi kubwa ya kuelewa kwanini upo hapa duniani. Je umekuja kwa bahati mbaya au umekuja kwa sababu ya mission fulani? Ni vyema kuelewa lengo lako la kuja hapa duniani. Wewe sio mtumwa, wewe sio mfungwa. Umekuja kwa kazi maalum. Ni bora ukaelewa kazi yako na kusudi lako la kuwepo duniani.

Acha mawazo membamba, badilisha mtazamo, kuwa huru.
 
Anael nitaelewaje kuhusu kuwepo kwangu hapa duniani

Maana nimefuatilia lakini sijaona kama kuna msaada wowote Wa kutoka kwenye icho kifungo
 
Anael nitaelewaje kuhusu kuwepo kwangu hapa duniani

Maana nimefuatilia lakini sijaona kama kuna msaada wowote Wa kutoka kwenye icho kifungo
kabla ya kueleza vitu ni vyema kwanza ukawaeleza watu tatizo lipo wapi. Na baada ya watu kuelewa na kuwa huru katika fikra zao ndio tunaanza hatua kwa hatua kujifunza.

Kwanza nakupongeza sana kwa kutaka kujua. Nitakueleza vitu vichache tu vya kuanza navyo.

Anza kujifunza kuwasiliana na nafsi yako.(Kuamusha nafsi katika utendaji).
Kwa sababu sasa tayari akili zimetawala maisha yako(mind). Ni vyama kuanza taratibu kuamsha nafsi(Spiritual Reality).
Elewa kwamba milango ya fahamu ndio chanzo kikubwa cha kuingiza taarifa kwenye mind. Kila unachokiona kinaandikwa kwenye database ya ubongo. kwa hiyo kinafanya akili iwe ndio mtawala mkuu wa maisha yako. Mtu sasa anakuwa anendeshwa na yale aliyoyaingiza kwenye database yake. Na hatimaye ubongo wake unaanza kuamini yeye ni wa duniani. Anaanza kushindana katika mazingira ya duniani, kwa sababu tayari maisha ya duniani yanaongozwa na mda. Anaanza kuwa na hofu ya kesho itakuwaje. Ni mambo mengi sana yanatokea.

Sasa kitu kikubwa hapa ni kuanza mazoezi ya kufunga milango ya fahamu kwa muda ili uweze kuwasiliana na nafsi iweze kuuambia ubongo kwamba asili yako ni nini. Kuanza kutoa vitu na picha zilizoingizwa kwenye database ya akili.

Jaribu kwa kuanza kufanya Lucid dreaming. Hii ni hatua nzuri ya kuzungumza na nafsi yako kupitia ubongo kwenye ndoto. Kila siku huwa tunaota ndoto lakini tunakuwa akili yetu ya kumbu kumbu imelala na inakuwa vigumu kukumbuka ulichoota. Lakini ukiweza kuota wakati akili ya kumbu kumbu ikwa active utaweza kuanza kuongea na nafsi yako. Taratibu na utaanza kujua vingi.

Hatua: Nenda ukalale kama kawaida huku umeandaa daftari lako la safari ya ndoto. Kabla ya kulala weka alamu ikuamshe baada ya masaa manne. Amka na kaa kama dakika 10 hivi nenda kalale tena. Hapo utakuwa umeamsha akili ya kumbu kumbu. Neda kalale tena kisha tulia ukiwa ume concetrate kwenye kitu chochote. Baaada ya muda utaona mwili wako unakufa gazi. Usiogope wewe tulia tu baada ya mda utaanza kuhisi mwili wako ni mwepesi. Kisha utaanza kuoana vitu kama katika ulimwengu wa damu na nyama. lakini kuwa na uwezo mkubwa wa kuweza hata kupaa.
.
Kisha baada ya kuamuka tu anza kuandika ulicho kiona. andika ndoto yako. hapa unazoesha ubongo kukumbuka na unaupa elimu.
Andika bila kujali spelling.
Huu ni mwazo tutaendelea kujuzana.
 
Annael

Tuanzie kwako kwa kuondoa hiyo nembo yako ambayo inatia kichechefu kama vile kwa lugha ya kiingereza wanasema "to preach water and drink wine" maanake hiyo nembo ilitafsiri kuwa chama kilikuwa cha wakulima na wafanyakazi sasa hivi ni kinyume na zaidi!

Hahaha hahaha watu mmechafukwa hatar hatar.....
 
Last edited by a moderator:
Annael

Tuanzie kwako kwa kuondoa hiyo nembo yako ambayo inatia kichechefu kama vile kwa lugha ya kiingereza wanasema "to preach water and drink wine" maanake hiyo nembo ilitafsiri kuwa chama kilikuwa cha wakulima na wafanyakazi sasa hivi ni kinyume na zaidi!

Lakini Annael kwa elimu yako na upendo unaousema hapa tutashindwa kukuamini. Tukitazama ujumbe wako na nembo yako.
 
Last edited by a moderator:
Lakini Annael kwa elimu yako na upendo unaousema hapa tutashindwa kukuamini. Tukitazama ujumbe wako na nembo yako.
Nembo na ufuasi wa chama fulani cha siasa hakiondoe elimu ya mtu kuwa na upendo. Ndio maana nikasema hivi ni vyema "Kukubali kutofautiana kuliko kukataa kutofautiana"
TUKUBALI KUTOFAUTIANA AU TUKATAE KUTOFAUTIANA (TUKIKUBALI NI AMANI NA FURAHA TUKIKATAA NI VITA NA MACHAFUKO) KAMA WEWE NI MFUPI LAZIMA UKUBALI WEWE NI MFUPI NA KAMA WEWE NI MWEMBAMBA UKUBALI KUWA MWEMBAMBA. KIPI KITATOKEA KAMA MTU MFUPI ATAKATAA KUWA MFUPI?
Kwahiyo tukubali kutofautiana.
 
Ashee!
Umenena mkuu, sababu watu wajifanya wakristo ukiamini Yesu umeokoka moto wengine wakiamini Allah wataepuka jehanam na kujipakulia bikira saba, na fix zinginezo.
Huo ni uongo mazee me nilikuwa naamini hivo ila nimejifunza and i'm 101% sure hayo ni mafix matupu na yanasaidia kutufanya wapumbavu haswaa na inawasaidia kutuexploit bila ya kutumia nguvu. Hiyo conspirancy inaitwa willie lynch, go google dat shit and many many more and know thy self.

Nimekubali mkuu sema hii kitu ni ngumu sana kueleweka kwa baadhi ya watu aiseee
 
anael

Mtu kambaka mtoto wako au mkeo au Mama Yako.

Mtu mwingine kawapigania na kuwatetea toka kwenye kudhalilishwa na kuhujumiwa ubinadamu wao.

Swali? Nini kinawatifautisha watu hao wawili kimienendo na kimatendo?

Swali. Wote hao ni Mungu?

Nadhani jamaa kaelezea kuwa kuna being,zimepandikizwa kwa sura namfano wa watu amabao ndio wana taka kututawala.na asili ya binadamu ni UPENDO NA AMANI.

CONCLUTION:NI kwamba kuna differ kati ya watu wanaoishi,pia jaribu kupitia kwa hawa wanaoitwa REPTILE SHIPSHIFTERS.Nahisi utapata mwanga kidogo hapo mkuu
 
Uwepo wa shetani na uwepo wa mungu wa kuabudiwa umeundwa na watu tu. Hakuna ukweli wowote kuhusu mungu mwenyezi au shetani. Nakuomba ndugu uelewe hiki. kila kitu unacho kiona na usicho kiona ni frequency. Frequency tunayoishi sisi hapa dunani ni wavelength 7.23cm. Na kama unauwezo wa kuji tune katika weve length tofauti utakuwa hauonekani na kujikuta sehemu tofauti. Sisi hapa duniani consciousness zetu zime stack kwenye weve legth 7.23cm.

Sasa inabidi kuanza kujifunza ku tune kwenye frequency tofauti. Na baada ya kujua hayo hutakuwa na maneno kama haya tena.

mkuu naomba tuelimishane hapa kama ikiwezekana tupe na uzi wake tofauti kabisa ili kwa tunaotaka mwwangaza kama huu tuelimike.

Natanguliza shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom