Siwezi kuendelea kubishana na wewe. Kwanza huna evidence kuhusu unacho kiongea. Huna uhakika wa uwepo wa mungu wa kuabudiwa, huna uhakika wa uwepo wa shetani; zaidi ya kufuata mafundisho uliyo anza kufundishwa tangu utotoni. Kuhusu maadili wa binadamu naomba usome Atlantis. kwa kukusaidia.Wewe ni wa Kupuuzwa Unaabudu ushetani.
Wewe ni uzao wa Shetani mpinga ubinadamu na maadili yake.
Siwezi kuendelea kubishana na wewe. Kwanza huna evidence kuhusu unacho kiongea. Huna uhakika wa uwepo wa mungu wa kuabudiwa, huna uhakika wa uwepo wa shetani; zaidi ya kufuata mafundisho uliyo anza kufundishwa tangu utotoni. Kuhusu maadili wa binadamu naomba usome Atlantis. kwa kukusaidia.
Pole sana kwa yaliyo kukuta. Lakini nimetoa maelezo hapo juu na kukueleza kuwa Human kind is God. Kisha nikakueleza ni namna gani uungu ulivyo. God is Love. Mtu mwenye upendo hawezi akamtendea mtu kitu kibaya. Mtu mwenye upendo atakuwa na furaha katika moyo wake. Mtu mwenye upendo anauwezo mkubwa wa kuwasiliana na nafsi yake. Mtu mwenye upendo anapofanya meditation huzaa matunda. Mtu mwenye upendo anapofanya Lucid Dream hupata matunda. Hatimaye anapoendelea kuwa na upendo anapata knowledge, baada ya knowledge anapata skill baada ya skill anapata Experience baada ya experience anapata Wisdom.Toa thread yako ya hovyo hapa. Mtu anakubaka wiki nzima kapoteza Uungu na katawaliwa na Shetani . Unamlinganidha na Mtu mwenye Uungu na maadili ya kibinadamu anakupigania na kukuokoa ... Unawaona wote sawa.
Unamuona Mungu na Shetani wote sawa.
Kama wewe sio Shetani Wewe ni nani? Jishtukie Mkuu. Toa ujinga wako wa kuchangsnya watu na hicho kiakili chako.
Kubali kuwa huru ufunguliwe. Maisha ni mafupi sana. Ukijua ukweli utakuwa huru kabisa. Kifungo cha dini ni kibaya sana maana unafungwa nafsi na mwili. Unakamatwa akili zako. Kabla maisha yako hayajaisha unanafasi kubwa sasa ya kujua ukweli. Acha kudangaywa simama kwa miguu yako. Hakuna wa kukushika mkono ni wewe na jitihada zako. Ukiwa tayari kuwa huru utakuwa huru na ukiamua kukaa kwenye kifungo utabaki ndani ya kifungo.
Mwili wa binadamu ni sandu la nafsi. Nafsi inaishi milele. Upo na nafasi kubwa ya kuelewa kwanini upo hapa duniani. Je umekuja kwa bahati mbaya au umekuja kwa sababu ya mission fulani? Ni vyema kuelewa lengo lako la kuja hapa duniani. Wewe sio mtumwa, wewe sio mfungwa. Umekuja kwa kazi maalum. Ni bora ukaelewa kazi yako na kusudi lako la kuwepo duniani.
Acha mawazo membamba, badilisha mtazamo, kuwa huru.
kabla ya kueleza vitu ni vyema kwanza ukawaeleza watu tatizo lipo wapi. Na baada ya watu kuelewa na kuwa huru katika fikra zao ndio tunaanza hatua kwa hatua kujifunza.Anael nitaelewaje kuhusu kuwepo kwangu hapa duniani
Maana nimefuatilia lakini sijaona kama kuna msaada wowote Wa kutoka kwenye icho kifungo
Annael
Tuanzie kwako kwa kuondoa hiyo nembo yako ambayo inatia kichechefu kama vile kwa lugha ya kiingereza wanasema "to preach water and drink wine" maanake hiyo nembo ilitafsiri kuwa chama kilikuwa cha wakulima na wafanyakazi sasa hivi ni kinyume na zaidi!
Amini nakuambia dini ya kweli ni UPENDO tuEvelyn Salt hebu kuja hapa....
Annael
Tuanzie kwako kwa kuondoa hiyo nembo yako ambayo inatia kichechefu kama vile kwa lugha ya kiingereza wanasema "to preach water and drink wine" maanake hiyo nembo ilitafsiri kuwa chama kilikuwa cha wakulima na wafanyakazi sasa hivi ni kinyume na zaidi!
Nembo na ufuasi wa chama fulani cha siasa hakiondoe elimu ya mtu kuwa na upendo. Ndio maana nikasema hivi ni vyema "Kukubali kutofautiana kuliko kukataa kutofautiana"Lakini Annael kwa elimu yako na upendo unaousema hapa tutashindwa kukuamini. Tukitazama ujumbe wako na nembo yako.
Ashee!
Umenena mkuu, sababu watu wajifanya wakristo ukiamini Yesu umeokoka moto wengine wakiamini Allah wataepuka jehanam na kujipakulia bikira saba, na fix zinginezo.
Huo ni uongo mazee me nilikuwa naamini hivo ila nimejifunza and i'm 101% sure hayo ni mafix matupu na yanasaidia kutufanya wapumbavu haswaa na inawasaidia kutuexploit bila ya kutumia nguvu. Hiyo conspirancy inaitwa willie lynch, go google dat shit and many many more and know thy self.
anael
Mtu kambaka mtoto wako au mkeo au Mama Yako.
Mtu mwingine kawapigania na kuwatetea toka kwenye kudhalilishwa na kuhujumiwa ubinadamu wao.
Swali? Nini kinawatifautisha watu hao wawili kimienendo na kimatendo?
Swali. Wote hao ni Mungu?
Uwepo wa shetani na uwepo wa mungu wa kuabudiwa umeundwa na watu tu. Hakuna ukweli wowote kuhusu mungu mwenyezi au shetani. Nakuomba ndugu uelewe hiki. kila kitu unacho kiona na usicho kiona ni frequency. Frequency tunayoishi sisi hapa dunani ni wavelength 7.23cm. Na kama unauwezo wa kuji tune katika weve length tofauti utakuwa hauonekani na kujikuta sehemu tofauti. Sisi hapa duniani consciousness zetu zime stack kwenye weve legth 7.23cm.
Sasa inabidi kuanza kujifunza ku tune kwenye frequency tofauti. Na baada ya kujua hayo hutakuwa na maneno kama haya tena.
Amini nakuambia dini ya kweli ni UPENDO tu
hizi nyingine zipo kwa ajili ya kutuvuruga
kama unao upendo ndani yako wewe u muumini wa kweli
amina