Kufungwa kwa akaunti ya Trump: Twitter yapoteza USD Bilioni 5 katika soko la thamani

Kufungwa kwa akaunti ya Trump: Twitter yapoteza USD Bilioni 5 katika soko la thamani

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Soko la Hisa la Twitter limeshuka kwa asilimia 12 baada ya Kampuni ya Mtandao huo wa Kijamii kuifungia akaunti Rais wa Marekani, Donald Trump Ijumaa iliyopita

Kuifunga akaunti ya Trump iliyokuwa na wafuasi takriban milioni 88 kumefanya bei ya Hisa kushuka na kupoteza Dola Bilioni 5 (Tsh. 11,592,430,000,000) kutoka katika mtaji wa soko la Hisa za Twitter

Inaelezwa kuwa thamani za Hisa inawezekana imeshuka kwa sababu Wawekezaji wana wasiwasi kuwa kuzuiwa kwa Trump kutapunguza hamu kwenye Mtandao huo na kusababisha kususa kwa wanaona uamuzi huo kuchochewa kisiasa

Twitter ilisema “Baada ya ukaguzi wa karibu wa tweets za hivi karibuni kutoka akaunti ya @realDonaldTrump na muktadha unaozizunguka tumesimamisha kabisa akaunti hiyo kwa sababu ya hatari ya kuchochea vurugu zaidi”
=====

Twitter stock fell as much as 12% on Monday after the social-media company permanently suspended President Donald Trump's account on Friday evening. The share-price decline wiped $5 billion from Twitter's market capitalization.

Twitter's bosses suspended Trump's account - which had about 88 million followers - after the world leader's fanning of conspiracy theories about voter fraud and election theft spurred thousands of his supporters to lay siege to the Capitol last week.

"After close review of recent Tweets from the @realDonaldTrump account and the context around them we have permanently suspended the account due to the risk of further incitement of violence," Twitter said.

The ban followed Facebook's suspension of Trump for at least the rest of his presidency. CEO Mark Zuckerberg defended the decision in a Facebook post on Thursday, arguing that Trump appeared intent on using his account to undermine a peaceful transition of power and risked sparking more violence.

Twitter stock likely fell because investors are worried the Trump ban will erode interest in the platform and lead to boycotts among those who see the decision as politically motivated and a way to silence a major conservative voice.
 
Ukilinganisha hiyo hela na usalama wa taifa, hiyo hela ni ndogo sana.

Hiyo ni hela ambayo Elon Musk, mtu mmoja tu, anaweza kupoteza au kuongeza kwa siku moja, bila kujua.
Hapo ndio waelewe Kuwa Mitandao kunamuda inatumika Vibaya kwenye Usalama
 
Mkuu

Siamini hoja ya usalama wa taifa..ni ma-liberals yamegeuka madikteta kuzima free speech

Tangu mwanzo liberal media zina suppress conservative ideas....I dont trust these far left lunatics!

Walivamia Capitol,ni kazi ya askari kuwaondoa na kuwafungulia mashitaka,sio Trump...

Acheni free speech bwana,mnajulikana kubania ideas za right wingers..

12% ya population washaanza kuongea na stock market hapo....tatizo ni suppression

Haya hiyo 12% ya watu kujitoa kwenye kununua stock za TWR nao Trump kwapigia simu mmoja mmoja kuwashurutisha wasinunue?

Liberals na Leftists mna shida ya udikteta
Twitter ina terms of service yake.Ukijisajili, unaikubali.

Ukivunja terms of service, unawapa haki Twitter kukupa ban.

Trump na hao right wingers wao wana uhuru wa kuanzisha Twitter yao wakafanya speech wanayotaka.

Hata hapa JF kuna sheria zake, ukizivunja mods wanakupa mpaka IP ban.

Free speech is not anarchy.

Acheni kununua stocks za Twitter ife.
 
Kwa nchi sawa vipi kwa kampuni ya twitter
Kampuni ya Twitter imeweza kuwepo pale ilipo kwa sababu nchi ipo.

Bila ya nchi ya Marekani kuwepo, si Twitter tu, hiyo internet yenyewe isingekuwepo.

Umeme umeanzia Marekani.

Computers zimeanzia Marekani.

Internet imeanzia Marekani.

Marekani ni muhimu kuliko Twitter. Hata Twitter wanajua hilo.

Walipofungia akaunti ya Trump walijua stock yao itashuka thamani. Lakini wakaamua kufungia tu kwa sababu wanajua kukizuka vita ya wenyewe kwa wenyewe, na wao waliweza kuzuia, stock market nzima itaanguka, si stock yao tu ya Twitter. Na hata nchi yenyewe inaweza kupasuka isiwepo tena.

Sasa wakaona bora hasara ya kampuni yao kuliko hasara ya nchi kupasuka.

By the way, hizi thamani za stocks huwa zinapanda na kushuka kila siku, si kitu cha ajabu sana.
 
Umesomeka na kueleweka
 
Mkuu

Tumeanzisha Parler,mbadala wetu kwa twitter,juzi Apple and Google Play wameifuta

Plus Amazon AWS wameamua kutufutia hjosting

Yote hii ni baada ya Parler kugeuka number 1 downloaded App ndani ya masaa machache Twitter kum-ban Trump

Mkuu hii yote ni chuki ya Big Tech kwa sisi Right wingers

Big Tech yote ni ma-leftie watupu

Pamoja na yoote,mna tendency ya kubana views za right wingers,mnajulikana

Ila mnaelewa kabisa Americans dont like this censorship mnazofanyia conservatives!

Media na kila kitu ni chenu,mnabana kila mahali....ila 2024 tutawatoa!
Anzisheni Apple, Google na AWS yenu.

Kwani mmekatazwa?

Wewe unaishi wapi?
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
Ukilinganisha hiyo hela na usalama wa taifa, hiyo hela ni ndogo sana.

Hiyo ni hela ambayo Elon Musk, mtu mmoja tu, anaweza kupoteza au kuongeza kwa siku moja, bila kujua.
 
Ungesoma yanayoandikwa huko kuhusu kufanya uvamizi na kutishia maisha ya viongozi mbali mbali na familia zao wala usingewaunga mkono. Trump kawavimbisha Michael maracist na domestic terrorists na kama hawakuthibitiwa ipasavyo basi Marekani ITALIPUKA na mlipuko wake utakuwa si wa kawaida kwani kuna uwezekano wa maafa makubwa kutokea.
Mkuu

Tumeanzisha Parler,mbadala wetu kwa twitter,juzi Apple and Google Play wameifuta

Plus Amazon AWS wameamua kutufutia hjosting

Yote hii ni baada ya Parler kugeuka number 1 downloaded App ndani ya masaa machache Twitter kum-ban Trump

Mkuu hii yote ni chuki ya Big Tech kwa sisi Right wingers

Big Tech yote ni ma-leftie watupu

Pamoja na yoote,mna tendency ya kubana views za right wingers,mnajulikana

Ila mnaelewa kabisa Americans dont like this censorship mnazofanyia conservatives!

Media na kila kitu ni chenu,mnabana kila mahali....ila 2024 tutawatoa!
 
You well know hizi stores ni closed ecosystem huwezi anzisha bila hardware na OS yako mwenyewe,Hawei wenyewe walishindwa

Sisi tunataka simamia katiba kutoka kwa founders,haya ma-big tech lazima tutakuja yavunja yawe madogo madogo,too much power mnayo mnageuka madikteta

Pamoja na kutubania Parler,tunairudisha hewani,plus tunawapandisha supreme court.Hamuwezi abuse power tuliyowapa

Nipo Maryland
Kwani mmekatazwa kuanzisha hardware na OS yenu?

Google walianza na hardware gani?

Unataka uhuru katika nyumba ya mwenzako?

Jenga yako uwe huru kivyako.
 
Mkuu

Unasoma yanayoandikwa na Liberal media ndio maana

Waliondamana Capitol Hill hawajaua mtu wala kufanya uvunjaji kiasi hicho

Sana sana askari wenu ndio wameua waandamanaji wa4....

Hakuna racists popote...

Tunajua nyie ni watu wa identity politics..ooh huyu black,huyu white,sijui huyu Hispanic,etc

Sisi conservative hatuna hizo...wewe kaa na colour yako huko,tunatak sheria zifuatwe,identity ni kivyako

Ila sio kama nawatetea wale wavamizi,wachukuliwe hatua,ila shida ni nyie na media zenu za liberal ni mnafanya fake news,suppression ya right wingers,na uongo...
Wewe hujaona anti semitism na Confederate flags kwenye hao maharamia waliovamia Capitol?

Wewe ni mmoja wao? Unabeba Confederate flag na wewe?

Wewe unajua kwamba Trump supporters hao waliovamia Capitol unaowatetea hawakupendi wewe muhamiaji, hususan ukiwa mweusi?

Nilimuona Maulid Kitenge anaenda kumuhoji mmoja, jamaa baada ya kusikia Kitenge anaongea Kiswahili, jamaa akaona huyu Muafrika gozigozi, akasepa hakutaka hata kumsikiliza Kitenge na kuhojiwa.

Unajipendekeza kwa watu wasiokupenda.
 
Liberal wengine wanaofanya FAKE NEWS hawa hapa Defense secretaries' letter warning Trump was signed by all in only 2 days

Back
Top Bottom