Kufungwa kwa akaunti ya Trump: Twitter yapoteza USD Bilioni 5 katika soko la thamani

PGA wamemdrop Trump.


British Open wamemdrop Trump.


Deutschebank wamemdrop Trump.

 
Collin Powell toka lini amekuwa Liberal? 😳
Kumbe unasikiliza CNN maliberal kindakindaki?

For four years,CNN na wenzake have never talk anything good Trump have done!

Never

Wao ni attack on Trump left and right!

Liberals ni wanazi mpaka basi...
 
Kumbe unasikiliza CNN maliberal kindakindaki?


For four years,CNN na wenzake have never talk anything good Trump have done!

Never

Wao ni attack on Trump left and right!

Liberals ni wanazi mpaka basi...
 
He gets things done? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukilinganisha hiyo hela na usalama wa taifa, hiyo hela ni ndogo sana.

Hiyo ni hela ambayo Elon Musk, mtu mmoja tu, anaweza kupoteza au kuongeza kwa siku moja, bila kujua.
Mbona hapa wakifungia mitandao inayohatarisha usalama wa nchi mnalalamika?
 
The far left crazy motherfvckers are uselesss in this world

Liberals are communists and socialists...full blown dictators

Now ma-liberals are doing assault of freedom of speech

Ndio maana mimi ni conservative.... will never be crazy liberal
i feel yo pain bro.

The liberals have gone nuts.

Too sad to see most of the blacka supporting biden just because the main stream media says so.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…