R Rasokauzu JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 518 Reaction score 302 Jul 27, 2014 #1 Habari wana jf nimesikia kuwa chuo cha rukwa college of health science>sumbawanga kuwa kimefungwa na moh je kuna ukweli ndani yake.
Habari wana jf nimesikia kuwa chuo cha rukwa college of health science>sumbawanga kuwa kimefungwa na moh je kuna ukweli ndani yake.
U ufumawicha JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 504 Reaction score 209 Jul 28, 2014 #2 Hakijafungwa sema tu hakina usajili wa kudumu.
R Rasokauzu JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 518 Reaction score 302 Jul 28, 2014 Thread starter #3 nilipata mshtuko kwani kuna jamaa alicoment kwenye tngaz la nacte na kusema kile chuo kimefungwa na moh
nilipata mshtuko kwani kuna jamaa alicoment kwenye tngaz la nacte na kusema kile chuo kimefungwa na moh