Kufungwa kwa chuo cha Rukwa college of health science>sumbawanga

Kufungwa kwa chuo cha Rukwa college of health science>sumbawanga

Rasokauzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
518
Reaction score
302
Habari wana jf nimesikia kuwa chuo cha rukwa college of health science>sumbawanga kuwa kimefungwa na moh je kuna ukweli ndani yake.
 
nilipata mshtuko kwani kuna jamaa alicoment kwenye tngaz la nacte na kusema kile chuo kimefungwa na moh
 
Back
Top Bottom