Kufungwa kwa Simba CCM inahusika?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Wakati Taifa Stars ikikata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Mataifa ya Afrika na Simba kuingia Robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika, CCM ilijinasibu kwamba hayo yametokea kwa kuwa ni utekelezaji wa Ilani ya chama chao na ubora wa utawala wa Rais wa Tano John Pombe Magufuli.

Sasa timu ya Simba imefungwa na TP Mazembe kwenye mchezo wao wa Marudiano kule Lubumbashi. Jee kipigo cha Simba nacho ni katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM?

Kama CCM ilihusika kwenye mafanikio ya Simba ni kwa nini isihusike pia kwenye kushindwa kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…