Kufungwa kwa Taifa Stars wala watanzania hawaumii , ni Kwanini ?

Hatahivyo hakuna timu permanent ya taifa. Ikimaliza mechi inavunjika. Nadhan tatizo ni TFF hawako serious na hii timu ya Taifa. Hakuna mipango dhahiri ya maana unaiona inayolenga kuandaa timu ya Taifa kufika mbali katika mashindano mbalimbali (mfano: kufuzu kucheza fainali za Kombe la Afcon, au Kombe la Dunia,etc). Ninachoshuhudia ni kuitwa tu kwa wachezaji kutoka timu mbalimbali waunde timu ya Taifa panapokua na mechi,na shughuli inaishia hapo mechi zikiisha. Hawa wachezaji wanatoka kwenye vilabu vyao,wanakusanyika kwa muda mfupi kulitumikia Taifa lao kisha warudi kwa waajiri wao. Sasa huo muda mfupi wanapokutana wanaenda kukuta mikakati gani imewekwa kimbinu,kimaslahi,kihamasa,kiasi cha kuwafanya wacheze kwa moyo wa kujituma,kutafuta ushindi kwa ajili ya nchi yao? Tunawaandaa vipi na kuwaendeleza vijana wa umri wa miaka 16,18,20 na 23 hasa wale wanaoitwa kwenye timu za Taifa za umri huo wacheze wakijua kuwa wanapikwa kwa ajili ya kuja kutengeneza timu ya Taifa ya wakubwa itakayokua tishio na kufika mbali katika mashindano mbalimbali?Kuna nini ambacho kipo kama motisha kwa sasahivi wachezaji wetu waliopo kwenye ligi za ndani (NBC na ile ya Zanzibar) na wale walioko nje ya nchi watamani au wawe na shauku ya kuitwa kuichezea timu yao ya Taifa? TFF ina mikakati gani ya kueleweka zaidi ya kufukuza kocha timu ikiyumba? TFF hii kazi yake ni kupiga tu faini vilabu kupitia ile kamati yao ya maadili? Ziko wapi programu za maana za kuitengeneza timu ya Taifa?hela za FIFA na za faini zina kazi gani?
Inshu sio eti wanakutana muda mfupi, dunia nzima sheria ya fifa ni kuwa mchezaji anatakiwa kujiunga na kambi ya timu yake ya taifa si chini ya siku tatu!!pale ni kupeana majukumu tu, na kutafuta chemistry nzuri, sasa hapa kwetu, mchezaji wa timu ya taifa anafundishwa kutuliza mpira?danadana chumba!!!!lazima u ufail tu.Hao unaosema eti kuazia miaka 16, 18..eti ndio watumike, sasa kabla ya kufikia umri huo, huko nyuma amepitia wapi, akapata msingi bora wa mpira?!!kwani kwa umri huo tayari anatakiwa vile vitu vya msingi anajua, kuhusu eti motisha, mkuu KUDRA, haiwezi kushinda JITIHADA, hawa hata uwaahidi wakifika AFCON, kila mmoja utampatia ndege 2 za AIRBUS 380!!na boeing 787 juu hakuna kitu,
Miaka nenda rudi mnatumia njia hiyo hiyo(kubahatisha)mkitegemea matokeo tofauti!!ni ujinga.Sasa sio muda wa kufukuza makocha , hao viongozi wa juu , mfano mkurugenzi wa ufundi, ndio wapishe hapo, kwani kama ni makocha licha ya kuwatimua hakuna mabadiriko yoyote yale.
 
Aie tuna mambo ya ajabu sana. Mara taifa stars maboresho, mara kamati ya saidia taifa stars isshinde. Siasa nyingi lakini wala hamna la maana hapo. Kama ulivyosema sie tunatimu makocha bure tuu wakati misingi kwa vijana wetu hatuweki imara.

Huyo mkurugenzi wa ufundi kila mwezi anafundisha kozi hapo karume hao makocha wanaenda wapi? Sii ndio wakafundishe huko mashuleni ili tupate vijana wenye ufundi mzuri kutokana na mafunzo yanayoendana na umri wao. Ni vyema ta huyo mkurugenzi wa ufundi nae ajitathmini maana ni majanga. Yeye mwenyewe alipewa timu ya u17 tukatia aibu hapa. Majuzi kaenda na fimu ya wanawke uganda kavurunda. Sasa kama huyu ndio anawafundisha makocha wetu kweli funatoa vitu quality au tunatoa quantity tuu?
 
Leo timu ya taifa ya soka ya Tanzania imechapwa Jijini Kampala na Uganda The Cranes , Tena kipigo chenyewe ni kizito 3-0 , kiasi cha Timu yetu kurudi kule kule kwenye KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.

Lakini cha kushangaza ni kwamba hakuna Mtanzania yeyote anayesikitika !

Je Ujasiri huu umetokana na nini ?
Sababu ya huyu mtu anayeitwa KALIA!

Kwani Ndugu Karia anasemaje?!?!

bababilalisports~p~CiDWHi4K9kw~1.jpg
 
Inshu sio eti wanakutana muda mfupi, dunia nzima sheria ya fifa ni kuwa mchezaji anatakiwa kujiunga na kambi ya timu yake ya taifa si chini ya siku tatu!!pale ni kupeana majukumu tu, na kutafuta chemistry nzuri, sasa hapa kwetu, mchezaji wa timu ya taifa anafundishwa kutuliza mpira?danadana chumba!!!!lazima u ufail tu.Hao unaosema eti kuazia miaka 16, 18..eti ndio watumike, sasa kabla ya kufikia umri huo, huko nyuma amepitia wapi, akapata msingi bora wa mpira?!!kwani kwa umri huo tayari anatakiwa vile vitu vya msingi anajua, kuhusu eti motisha, mkuu KUDRA, haiwezi kushinda JITIHADA, hawa hata uwaahidi wakifika AFCON, kila mmoja utampatia ndege 2 za AIRBUS 380!!na boeing 787 juu hakuna kitu,
Miaka nenda rudi mnatumia njia hiyo hiyo(kubahatisha)mkitegemea matokeo tofauti!!ni ujinga.Sasa sio muda wa kufukuza makocha , hao viongozi wa juu , mfano mkurugenzi wa ufundi, ndio wapishe hapo, kwani kama ni makocha licha ya kuwatimua hakuna mabadiriko yoyote yale.
Nikisoma andiko lako naona tupo pamoja katika kufikiri mkuu. Unayosema ndio ninayomaanisha.
 
Ziko wapi programu za maana za kuitengeneza timu ya Taifa?hela za FIFA na za faini zina kazi gani

Zina kazi ya KUTENGENEZA VITAMBI.
 
Leo timu ya taifa ya soka ya Tanzania imechapwa Jijini Kampala na Uganda The Cranes , Tena kipigo chenyewe ni kizito 3-0 , kiasi cha Timu yetu kurudi kule kule kwenye KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.

Lakini cha kushangaza ni kwamba hakuna Mtanzania yeyote anayesikitika !

Je Ujasiri huu umetokana na nini ?
Kwani ni lini Tz walitoka kwenye kichwa cha uendawazimu!!??We are there to stay that is our permanent home
 
kwani huyo msomali anasemaje?yaani uumizwe na mpira ambao unaendeshwa na siasa siasa na ubabaishaji mwingi?
et timu ya taifa mxeew!
 
Kwa sababu stars ikishinda watanzania wanapokwa ushindi unakuwa wa mama peke yake
 
Back
Top Bottom