Kufungwa kwa Taifa Stars wala watanzania hawaumii , ni Kwanini ?

Inshu sio eti wanakutana muda mfupi, dunia nzima sheria ya fifa ni kuwa mchezaji anatakiwa kujiunga na kambi ya timu yake ya taifa si chini ya siku tatu!!pale ni kupeana majukumu tu, na kutafuta chemistry nzuri, sasa hapa kwetu, mchezaji wa timu ya taifa anafundishwa kutuliza mpira?danadana chumba!!!!lazima u ufail tu.Hao unaosema eti kuazia miaka 16, 18..eti ndio watumike, sasa kabla ya kufikia umri huo, huko nyuma amepitia wapi, akapata msingi bora wa mpira?!!kwani kwa umri huo tayari anatakiwa vile vitu vya msingi anajua, kuhusu eti motisha, mkuu KUDRA, haiwezi kushinda JITIHADA, hawa hata uwaahidi wakifika AFCON, kila mmoja utampatia ndege 2 za AIRBUS 380!!na boeing 787 juu hakuna kitu,
Miaka nenda rudi mnatumia njia hiyo hiyo(kubahatisha)mkitegemea matokeo tofauti!!ni ujinga.Sasa sio muda wa kufukuza makocha , hao viongozi wa juu , mfano mkurugenzi wa ufundi, ndio wapishe hapo, kwani kama ni makocha licha ya kuwatimua hakuna mabadiriko yoyote yale.
 
Aie tuna mambo ya ajabu sana. Mara taifa stars maboresho, mara kamati ya saidia taifa stars isshinde. Siasa nyingi lakini wala hamna la maana hapo. Kama ulivyosema sie tunatimu makocha bure tuu wakati misingi kwa vijana wetu hatuweki imara.

Huyo mkurugenzi wa ufundi kila mwezi anafundisha kozi hapo karume hao makocha wanaenda wapi? Sii ndio wakafundishe huko mashuleni ili tupate vijana wenye ufundi mzuri kutokana na mafunzo yanayoendana na umri wao. Ni vyema ta huyo mkurugenzi wa ufundi nae ajitathmini maana ni majanga. Yeye mwenyewe alipewa timu ya u17 tukatia aibu hapa. Majuzi kaenda na fimu ya wanawke uganda kavurunda. Sasa kama huyu ndio anawafundisha makocha wetu kweli funatoa vitu quality au tunatoa quantity tuu?
 
Sababu ya huyu mtu anayeitwa KALIA!

Kwani Ndugu Karia anasemaje?!?!

 
Nikisoma andiko lako naona tupo pamoja katika kufikiri mkuu. Unayosema ndio ninayomaanisha.
 
Ziko wapi programu za maana za kuitengeneza timu ya Taifa?hela za FIFA na za faini zina kazi gani

Zina kazi ya KUTENGENEZA VITAMBI.
 
Kwani ni lini Tz walitoka kwenye kichwa cha uendawazimu!!??We are there to stay that is our permanent home
 
kwani huyo msomali anasemaje?yaani uumizwe na mpira ambao unaendeshwa na siasa siasa na ubabaishaji mwingi?
et timu ya taifa mxeew!
 
Kwa sababu stars ikishinda watanzania wanapokwa ushindi unakuwa wa mama peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…