Mnajidanganya. Wale jamaa walikosa umakini tu pale mbele, wamewakosa goli nyingi sana na nyie hamkuwa tishio maana inaonyesha waliwasoma vizuri. Wakijirekebisha watakapokuja Dar hawawezi kosa goli mbili.
Na nimeshtushwa na kitendo chenu cha kupiga mpira nje ulipoanza tu.
Ndo maana nimesema walikosa umakini. Sichangii mada kama sina cha kusema.Mkuu gori gani hizo walizotukosa nauku hawakupata hata shuti mojo lililolenga gori(on target) kwa dk zote 90 za mchezo? Au ndo ilimradi uchangie.
On target 0 alafu wewe unasema nini!?.Mnajidanganya. Wale jamaa walikosa umakini tu pale mbele, wamewakosa goli nyingi sana na nyie hamkuwa tishio maana inaonyesha waliwasoma vizuri. Wakijirekebisha watakapokuja Dar hawawezi kosa goli mbili.
Na nimeshtushwa na kitendo chenu cha kupiga mpira nje ulipoanza tu.
Wewe nilishakuambiaga mpira unafosi tu kuushabikia ila umekukalia kushoto. Timu haina hata shots on target halafu unasema wamewakosa magoli mengi. Kitendo cha Yanga kuupiga mpira nje ni kitu cha kawaida sana kwenye mpira wa miguu hata ulaya timu zinafanya hivyo. Anza kufatilia mpira usiishie kuangalia mechi tu za Simba na Yanga. Angalia mechi pia za ulaya uongoze ufahamu wa mchezo wa mpira wa miguu.Mnajidanganya. Wale jamaa walikosa umakini tu pale mbele, wamewakosa goli nyingi sana na nyie hamkuwa tishio maana inaonyesha waliwasoma vizuri. Wakijirekebisha watakapokuja Dar hawawezi kosa goli mbili.
Na nimeshtushwa na kitendo chenu cha kupiga mpira nje ulipoanza tu.
Ninachosema Rivers walikuwa bora ila walikosa umakini eneo la mwisho, yaani hadi maneno hayo yanawakwaza? Mnataka niseme mliwashika kila idara na hawakufurukuta? Mashuti yao mengi yalikuwa yanawababua mabeki wa Simba na hiyo ndiyo kukosa umakini ninakosema.Wewe nilishakuambiaga mpira unafosi tu kuushabikia ila umekukalia kushoto. Timu haina hata shots on target halafu unasema wamewakosa magoli mengi. Kitendo cha Yanga kuupiga mpira nje ni kitu cha kawaida sana kwenye mpira wa miguu hata ulaya timu zinafanya hivyo. Anza kufatilia mpira usiishie kuangalia mechi tu za Simba na Yanga. Angalia mechi pia za ulaya uongoze ufahamu wa mchezo wa mpira wa miguu.
Lete takwimu zao kuonesha walikuwa bora kuliko Yanga.Ninachosema Rivers walikuwa bora ila walikosa umakini eneo la mwisho, yaani hadi maneno hayo yanawakwaza? Mnataka niseme mliwashika kila idara na hawakufurukuta? Mashuti yao mengi yalikuwa yanawababua mabeki wa Simba na hiyo ndiyo kukosa umakini ninakosema.
Kama unazungumzia rivers vs Simba, basi sawa hiyo ilikuwa ni mechi uliyoangalia peke yako na mashabiki wenzako wa Simba labda.Ninachosema Rivers walikuwa bora ila walikosa umakini eneo la mwisho, yaani hadi maneno hayo yanawakwaza? Mnataka niseme mliwashika kila idara na hawakufurukuta? Mashuti yao mengi yalikuwa yanawababua mabeki wa Simba na hiyo ndiyo kukosa umakini ninakosema.
Mnapenda mtafuniwe na mkitafuniwa mnataka mmezewe pia. Tafuta mwenyewe si una bandoLete takwimu zao kuonesha walikuwa bora kuliko Yanga.
Wako obsessed na Simba.Ndio kipimo chao.Wakishiba mihogo, Simba wakicheua Simba basi tabu tu.Kazi ya Nabi hiyo Simba anahusikaje hapa, huko kote alikotoka alikuwa akifungwa na Simba? Kila siku?