Kufunza hesabu bongo

Kufunza hesabu bongo

mfutwa1

Member
Joined
May 6, 2020
Posts
81
Reaction score
232
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe

"Nikiangalia kopo langu la mkono,
lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."

Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana usiku nilisikia
mama akiambia baba "kama haiingii paka mate hapo kichwani ujaribu tena" kisha mama akamuuliza, "imeingia?"baba akamjibu,"ndio.
Imeingia yote" nami nimejipaka mate kichwani ni jaribu tena nione kama hii hesabu itaingia yote.Mtoto huyu aliambia mwalimu huko Tanga
 
Back
Top Bottom