Kufurahia 5 za KMC na ASAS ukisahau 5 na 6 ulizofungwa ni uwendawazimu ulioutukuka

Kufurahia 5 za KMC na ASAS ukisahau 5 na 6 ulizofungwa ni uwendawazimu ulioutukuka

Shida mnayopata ni baadhi yenu hasa wewe kutaka kuifananisha timu yenu na Yanga.
Kama mngebaki katika eneo lenu la timu inayoipa changamoto Yanga usinge umia sana, maana Simba iliundwa ili kuipa changamoto Yanga.
Kiuhalisia Simba ndio kibonde/mnyonge wa Yanga tangu ina anzishwa, Ndio timu iliyofungwa na Yanga maranyingi zaidi kuliko timu yoyote Nchini.
Yanga ndio bingwa maranyingi zaidi kwenye ligi kuliko timu yoyote Nchini.

Nakushauri baki kwenye position yenu yaliyobaki utayaona ya kawaida.
 
Back
Top Bottom