Warumi 12:15
[15]Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.
Ndugu zangu, sisi binadamu ni viumbe wa kijamii. Tuko tofauti na viumbe wengine kwa sababu hii.
Kwa binadamu mwenye Afya njema; kimwili, kiakili, kiroho na kijamii, lazima ajihusishe na kile kinachoendelea kwa majirani zake (wale wanaomzunguka). Atafurahi pamoja na wanaofurahi, na pia atahuzunika pamoja na wenye huzuni.
Ni ugonjwa wa akili kufurahia wakati wengine wanalia.