Kuna watu wanaitwa saddist, hawa wana feed on peoples pain, too bad most of them ndio top decision makersWarumi 12:15
[15]Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.
Ndugu zangu, sisi binadamu ni viumbe wa kijamii. Tuko tofauti na viumbe wengine kwa sababu hii.
Kwa binadamu mwenye Afya njema; kimwili, kiakili, kiroho na kijamii, lazima ajihusishe na kile kinachoendelea kwa majirani zake (wale wanaomzunguka). Atafurahi pamoja na wanaofurahi, na pia atahuzunika pamoja na wenye huzuni.
Ni ugonjwa wa akili kufurahia wakati wengine wanalia.
Tuna bahati mbaya sana maana sehemu kubwa ya watawala wetu ni "sadists in nature".Kuna watu wanaitwa saddist, hawa wana feed on peoples pain, too bad most of them ndio top decision makers
Watu kufanyiwa vitendo vya kikatili kama kulawitiwa, kuingiziwa chupa, kuuliwa n.k, inasikitisha sana kwa kweli MkuuWatanzania wamekuwa na roho mbaya kisa uchama.