Kufuru, malkia wa nyuki atua dar na ndege ya watu 150 akiwa abiria pekee

Mke mdogo wa JK,muheshiwa raisi is unajua tena bi wadogo ndio kila kitu
oh! siwajua tena sina mtu wa kunipa umbea...! kwa hiyo yule nyuki mtoto ni wa jk?
 
Mwarabu gani mbaya hiyo jamani wakati wanawake wa kiarabu w
Hasa wanaozaliwa huko Oman huwa wazuri balaa,sasa huyu na huo wanja wa sina mume, ndio hawa usoni fanta emagulu lolo coka yee
 
Join Date : 4th November 2011

Posts : 4,719
Rep Power : 6215
Likes Received 779

Likes Given 0


umekalia bango hujatoa LIKE hata moja tangu 2011?

Kwani hizo like zina umuhimu gani??umenichekesha bure wallah
 
Mwarabu gani mbaya hiyo jamani wakati wanawake wa kiarabu w
Hasa wanaozaliwa huko Oman huwa wazuri balaa,sasa huyu na huo wanja wa sina mume, ndio hawa usoni fanta emagulu lolo coka yee

mademu wabaya kama nyie kwa kukandia wenzenu mmejaliwa...
 
******************* ndege toka Oman
hadi Tanzania peke yake ? Ndege huwa huwezi
mpa mtu lift jamani !!! Dunia uwanja wa fujo.
 

Nisichojua mimi je ni Mtanzania? Tunaambiwa ni balozi wa heshima nchini Comoro, anawakilisha nchi gani, alipataje hiyo nyadhfa? Je ni mfanyabiashara wa bidhaa gani? Tunafaham Bakharesa ni vyakula, Dewji vyakula na mafuta ya kupikia, Mengi media, migodi na IPP kwa ujumla, je huyu mama ni nini anafanya?
 

hizi ni tabia za drug lords
 
Kama ni balozi wa heshima wa Oman anawezaje kuwa raia wa TZ? si wanasema mwaka 2015 anataka aje kugombea ubunge kwenye jimbo moja hapa Dar, na tayari ameisha andaa campaign team!
 

Umeambiwa anawakilisha Oman au haujasoma vizuri na ni mfanyabiashara wa mafuta anamiliki RBP Oil!Kuwa balozi wa heshima si lazima uwe raia wa hiyo nchi husika mfano Dr Alex Khalid alikua balozi wa heshima wa Shelisheli nchini Tanzania wakati yeye si Mshelisheli
 
mademu wabaya kama nyie kwa kukandia wenzenu mmejaliwa...

Una uhakika huyo hapo wa omani hata robo hajanifikia, labda sijamfikiaa kukod ndege tuuu,
We ndio hujui hata kuchagua pole muuza sura a.k.a mpaka mapodaa meen
 
Kama ni balozi wa heshima wa Oman anawezaje kuwa raia wa TZ? si wanasema mwaka 2015 anataka aje kugombea ubunge kwenye jimbo moja hapa Dar, na tayari ameisha andaa campaign team!

Jimbo la Ilala
 
Naona mleta habari kazidisha mahaba,mana kanogewa hadi anasema ”DEGE LENYEWE HATA FAST JET CHAMTOTO"....Asijue kuwa fastjet ndege zao wanazotumia ni A320,na hiyo iliyomleta Malkia wa Nyuki ni A320,tofauti ni rangi na muonekano wa ndani tuu..moja imetayalishwa kwa kubeba abiria na nyingine kwa VIP...Lkn performance ni sawa,hii ni kazi ya waandishi njaa wa bongo,kazi kusifia watu ili wapate chochot...huyu Salehe anayejiita Jembe anamsifia Malkia wa nyuki kupitiliza..maana ndio alimdhamini.kila kitu ktk safari ya simba Oman kwa minajili ya.kusifiana ktk kiblog chake na.Gazeti la Chmpion...ana fungu lake la kumsifia kwenye blog na gazeti...eti dege kubwa hata fast jet chamtoto..!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…