Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Mwarabu huyo hajajichubua
Anatisha thou
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu huyo hajajichubua
unataka kuniweka wapi wewe....?sema nikuweke?
oh! siwajua tena sina mtu wa kunipa umbea...! kwa hiyo yule nyuki mtoto ni wa jk?Mke mdogo wa JK,muheshiwa raisi is unajua tena bi wadogo ndio kila kitu
kumbe kama mimi...?hata natamani kujua namsikia tu
Join Date : 4th November 2011
Posts : 4,719
Rep Power : 6215
Likes Received 779
Likes Given 0
umekalia bango hujatoa LIKE hata moja tangu 2011?
amekupa bei gani ili kumsifia kwenye huu ujinga
Mwarabu gani mbaya hiyo jamani wakati wanawake wa kiarabu w
Hasa wanaozaliwa huko Oman huwa wazuri balaa,sasa huyu na huo wanja wa sina mume, ndio hawa usoni fanta emagulu lolo coka yee
Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo.
Rahma, maarufu kama Malkia wa Nyuki, ametua na ndege hiyo aina ya Airbus 320 inayomilikiwa na Serikali ya Oman na anaitumia yeye kupitia cheo chake cha Balozi wa Heshima wa Oman nchini Comoro.

Nisichojua mimi je ni Mtanzania? Tunaambiwa ni balozi wa heshima nchini Comoro, anawakilisha nchi gani, alipataje hiyo nyadhfa? Je ni mfanyabiashara wa bidhaa gani? Tunafaham Bakharesa ni vyakula, Dewji vyakula na mafuta ya kupikia, Mengi media, migodi na IPP kwa ujumla, je huyu mama ni nini anafanya?
mademu wabaya kama nyie kwa kukandia wenzenu mmejaliwa...
Kama ni balozi wa heshima wa Oman anawezaje kuwa raia wa TZ? si wanasema mwaka 2015 anataka aje kugombea ubunge kwenye jimbo moja hapa Dar, na tayari ameisha andaa campaign team!
Heaven on EarthUyu nyuki mtoto anatumia jina gn umu JF na anapumzika jukwaa gn nawaamini sn wabongo wenzangu kwa data nianze na mafuriko ya PM.