McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Yaaappp amekupata sasa nadhan atafurahi
Nikiwa nyuki wa kiume nisione mafuriko ya PM mm nitakodi lile jengo jeupe pale magogoni
Hahahahahahagahahahahs hata mie hutakii jamanii
Relax kwnz nianze mchakato kwa nyuki mtoto kule PM na ww anza kupiga debe ile nikibonyeza ENTER ntakukumbuka kwny ufalme wng
unataka kuniweka wapi wewe....?
Kaka unashangaa au unauliza swali?duniani watu wote ni sawa!
HAPANA...WENGINE WANANUKIA PESA,WENGINE WANANUKA SHIDA..duniani watu wote ni sawa!
KAMA NYUKI....Mhh!! sio siri huyu mama anatisha!!!!!!!!!!
HAAHA....Pablo Escobar - Wikipedia, the free encyclopediahizi ni tabia za drug lords
KAWEKA !.....Kaka unashangaa au unauliza swali?
Ndo Nani hiyo?
Nisichojua mimi je ni Mtanzania? Tunaambiwa ni balozi wa heshima nchini Comoro, anawakilisha nchi gani, alipataje hiyo nyadhfa? Je ni mfanyabiashara wa bidhaa gani? Tunafaham Bakharesa ni vyakula, Dewji vyakula na mafuta ya kupikia, Mengi media, migodi na IPP kwa ujumla, je huyu mama ni nini anafanya?
Naona mleta habari kazidisha mahaba,mana kanogewa hadi anasema DEGE LENYEWE HATA FAST JET CHAMTOTO"....Asijue kuwa fastjet ndege zao wanazotumia ni A320,na hiyo iliyomleta Malkia wa Nyuki ni A320,tofauti ni rangi na muonekano wa ndani tuu..moja imetayalishwa kwa kubeba abiria na nyingine kwa VIP...Lkn performance ni sawa,hii ni kazi ya waandishi njaa wa bongo,kazi kusifia watu ili wapate chochot...huyu Salehe anayejiita Jembe anamsifia Malkia wa nyuki kupitiliza..maana ndio alimdhamini.kila kitu ktk safari ya simba Oman kwa minajili ya.kusifiana ktk kiblog chake na.Gazeti la Chmpion...ana fungu lake la kumsifia kwenye blog na gazeti...eti dege kubwa hata fast jet chamtoto..!!!!
"second lady"
mhuuu!!!Huyo malkia ni mrembo na mzuri sana
duniani watu wote ni sawa!
duniani watu wote ni sawa!
There are two kinds of people in this world, my friend. There are those that LIVE, and those that EXIST.
She LIVES.