Kufuru, malkia wa nyuki atua dar na ndege ya watu 150 akiwa abiria pekee

Kufuru, malkia wa nyuki atua dar na ndege ya watu 150 akiwa abiria pekee

Si mchezo nadhani itakuwa imeleta mzigo tuu, ndio njia iliyobaki.
 
duniani watu wote ni sawa!
HAPANA...WENGINE WANANUKIA PESA,WENGINE WANANUKA SHIDA..

Mhh!! sio siri huyu mama anatisha!!!!!!!!!!
KAMA NYUKI....

hizi ni tabia za drug lords
HAAHA....Pablo Escobar - Wikipedia, the free encyclopedia
2Q==


Kaka unashangaa au unauliza swali?
KAWEKA !.....
 
Nisichojua mimi je ni Mtanzania? Tunaambiwa ni balozi wa heshima nchini Comoro, anawakilisha nchi gani, alipataje hiyo nyadhfa? Je ni mfanyabiashara wa bidhaa gani? Tunafaham Bakharesa ni vyakula, Dewji vyakula na mafuta ya kupikia, Mengi media, migodi na IPP kwa ujumla, je huyu mama ni nini anafanya?

Hujui mke wa Rais naye ni Rais?
 
Naona mleta habari kazidisha mahaba,mana kanogewa hadi anasema ”DEGE LENYEWE HATA FAST JET CHAMTOTO"....Asijue kuwa fastjet ndege zao wanazotumia ni A320,na hiyo iliyomleta Malkia wa Nyuki ni A320,tofauti ni rangi na muonekano wa ndani tuu..moja imetayalishwa kwa kubeba abiria na nyingine kwa VIP...Lkn performance ni sawa,hii ni kazi ya waandishi njaa wa bongo,kazi kusifia watu ili wapate chochot...huyu Salehe anayejiita Jembe anamsifia Malkia wa nyuki kupitiliza..maana ndio alimdhamini.kila kitu ktk safari ya simba Oman kwa minajili ya.kusifiana ktk kiblog chake na.Gazeti la Chmpion...ana fungu lake la kumsifia kwenye blog na gazeti...eti dege kubwa hata fast jet chamtoto..!!!!

Mkuu hata Mimi ningepewa kazi hiyo mradi silali njaa ningeifanya! Kuandika tuu wengine kumewapa maisha
 
Hongera sana malkia nyuki!!!!!!!!! Ndio matumizi ya pesa ya hayo!!!!!!
 
There are two kinds of people in this world, my friend. There are those that LIVE, and those that EXIST.
She LIVES.

Every one are equal my friend! Even tho she lives in luxuries way but How many rooms does she slept per one night?
 
Back
Top Bottom