Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Dida nae ndo nini kuwaanika wenzao namna hiyo wakat wametuambia wamechanga million 8[emoji23][emoji23], Dida sio mtu mzuri akiii, kama namuona Irene alivyochunda uso kwa kumbuka mxieew kujifanya ana hela wakati anakaa nyumba ya kupanga
Kajenga bhanaa
 
Mmh shoga kidawa aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili , uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hii mi mbwa inapenda sifa hela haina, na hapo bado domo atasema anatoa mil 100. View attachment 1792757
Dai atasema mil 100 kumbe elf50...[emoji16][emoji16]maana yeye mpk ikipelea ndo achangie
 
Mmh shoga kidawa aunty Ezekiel kwenye mitandao ya kijamii kasema ametoa mchango million nne kumbe katoa laki mbili , uwoya nae alitangaza kalipa mil 8 kumbe laki tano, hii mi mbwa inapenda sifa hela haina, na hapo bado domo atasema anatoa mil 100. View attachment 1792757
Mbona umekaa kiumbeyambeya Mkuu?
Michango bado inaendelea, wenye tick ndo wamekamilisha ahadi. Hao wengine bado
 
Back
Top Bottom