StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Pakigeuka pachungu utatoka?True brother yaani tunabaki kuwaonea wivu maana walipo hatupo wanapiga parefu haswa..mimi nina rafiki yangu imagine nimegraduate nae mika 8 tu iliyopita sasa napiga nae story ananiambia anajenga apartment 10 kwa pamoja imagine huku mimi nikijiangalia napambana na kibanda cha kulalia huu mwaka wa 4 hata sioni kama nitamaliza hivi karibuni..
Ukweli niliojifunza tusichukue kila ushauri wa watu isee serikalini kutamu sana lazima nirudi kwa namna yeyote ile. Kwa sasa ni patamu haswa..
Kila mtu ashinde mechi zake.Sentensi ya mwisho ndiyo pointi yenyewe
Yeah nimebadili mwenzangu.mimi nipo, ila utakua umebadili id ,hii yako ngeni kwangu
Umejuaje?Ww ndo mardawat!! Na kwann umebadilisha jina?
Mkuu ukisha jua kuwa haya maisha is all about survival.. Mbona ukweli utauweka Kandi na kulijali tumbo lakoSasa nyie endeleeni kuipigania sijui haki na wakati wenzenu wanaporomosha majengo makubwa Kila wakati na Bado huko vibanda vyenu vya temeke vinavunjwa kupisha wakina lugumi wajenge makasri Yao😀😀huku wewe hata kibanda cha kuku haujajenga.
ok,nikumbushe ili twende sawa japo kdgYeah nimebadili mwenzangu.
Nipo Kwa muda,niliona wamekupiga ban.Kuna siku nilikua anapitia nyuzi zangu za zamani Nikita comment yako then Nika recall
Okok,nikumbushe ili twende sawa japo kdg
itapendeza
Mawardatitapendeza
hahahahahaha,karibuMawardat
Umewazidi.una kitu wao hawana😁Yes, sasa hivi mpaka mods wananisakama daah
Umecheka😁,,, ahsantehahahahahaha,karibu
nimefurahiUmecheka😁,,, ahsante
Ahsantenimefurahi