Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Wanajamvi,
namshukuru Mungu nimepiga kura jumapili iliyopita. Samahani kuwasumbua katika hili lakini nadhani litawasaidia wengi katika kipindi hiki, je ule wino tuliowekewa kama alama ya kupiga kura tunaweza kuutoa kwa dawa/sabuni/ au kimiminika gani? Mpaka leo sijafanikiwa kusafisha kidole hicho.
Siku raisi halali wa Tanzania wa watanzania atakapotangazwa