B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Oct 16, 2022 #1 Naomba kuelekezwa namna ya kufuta namba Whatsapp zilizo left kwenye group. Watu wana left namba kibao zinabakia nahitaji niziondoe. Msaada tafadhali
Naomba kuelekezwa namna ya kufuta namba Whatsapp zilizo left kwenye group. Watu wana left namba kibao zinabakia nahitaji niziondoe. Msaada tafadhali
King Sae JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 3,282 Reaction score 6,471 Oct 16, 2022 #2 Na tuache tabia ya kuunga watu magroup pasi ridhaa zao….huo ni us*nge
B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Oct 17, 2022 Thread starter #3 Mmmmm Ndugu umeelewa nilichouliza au unataka tu kuonesha watu usivyomstaarabu. Na Admin sijui kwa nini anaruhusu discussion za matusi hivi. Asante kwa kulelewa hivyo.
Mmmmm Ndugu umeelewa nilichouliza au unataka tu kuonesha watu usivyomstaarabu. Na Admin sijui kwa nini anaruhusu discussion za matusi hivi. Asante kwa kulelewa hivyo.
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,533 Reaction score 3,595 Oct 17, 2022 #4 Clear chat
B BANDOKITITA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 1,484 Reaction score 2,852 Oct 17, 2022 Thread starter #5 Poapoa