Kufuta Namba za Whatsapp zilizo left

Kufuta Namba za Whatsapp zilizo left

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Naomba kuelekezwa namna ya kufuta namba Whatsapp zilizo left kwenye group. Watu wana left namba kibao zinabakia nahitaji niziondoe. Msaada tafadhali
 
Mmmmm Ndugu umeelewa nilichouliza au unataka tu kuonesha watu usivyomstaarabu. Na Admin sijui kwa nini anaruhusu discussion za matusi hivi. Asante kwa kulelewa hivyo.
 
Back
Top Bottom