Kufuta sherehe za Uhuru wa Tanganyika huku sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zikiachwa ni ishara ya kuiua kabisa Tanganyika. Hatutakubali kirahisi

Muungano uchwara umetuletea dhahama kubwa sana. Tanganyika tungekuwa mbali Sana tusingejiunga na kale ka mkoa.
 
Safari zmmaliz mshiko
 

Kwanini usiahirishe kuzungusha mwenge nchi nzima jambo la kijinga kila mwaka tulipinga
 
Angalau leo umeandika la maana, Hongera
 
Kwanini usiahirishe kuzungusha mwenge nchi nzima jambo la kijinga kila mwaka tulipinga
TUNAANZA taratibu hata huo mwenge huenda IPO siku. Kwa Sasa tumekusitishia Tenda ya kutuuzia mashati na kofia, Sasa hiyo fedha hupati ISIPOKUWA tunaipeleka kwenye mambo mengine yenye high priority kwenye jamiii. Tafuta ujasiliamali mwingine
 
Halafu na wewe unajiona una akili, mbona hukemei misafara ya Samia inayogharimu mabilioni!
 
Naunga mkono hoja.
 
Tarehe 12-1-2023 utamuona yupo Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…