Kufuta sherehe za Uhuru wa Tanganyika huku sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zikiachwa ni ishara ya kuiua kabisa Tanganyika. Hatutakubali kirahisi

Leo 9 Disemba ni siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika , Siyo kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania wala Tanzania Bara , kwahiyo upotoshaji wowote kuhusu sherehe hizi tutaupinga kwa nguvu zote bila kujali cheo cha mpotoshaji wala ukubwa wake

Mara kadhaa tumeshuhudia kuzimwa kwa sherehe za Uhuru wa Tanganyika kwa kisingizio cha ETI PESA ZA SHEREHE HIZO ZIELEKEZWE KWENYE HUDUMA ZA JAMII , Hivi huduma za jamii kama ujenzi wa mabweni na mengineyo hazitengewi bajeti ? kwanini hela za sherehe za Uhuru zipelekwe huko , nani kawatuma kufanya haya , kwanini ?

Kinachosikitisha ni kwambs , Wakati Watanganyika wananyimwa Sherehe za Uhuru wao , Wazanzibar ambao nchi yao haikumezwa na jina Tanzania wangali wanaendelea kusherehekea SIKU YA MAPINDUZI MATUKUFU kwa mbwembwe , hivi hawa mbona wao hawazuii sherehe kwa kisingizio cha kujenga mabweni , au watoto wao hawasomi ?

Sasa tunaanza kuona dhahiri nia ovu ya kuifukia Tanganyika na kuiinua Zanzibar , Nachukua nafasi hii kutangaza jambo hili kuwa miongoni mwa KERO MPYA ZA MUUNGANO , na jambo hili litatuliwe haraka .

Ni Utumwa na ni Aibu kubwa kwa nchi yoyote ile kupuuza Sherehe za Uhuru wake yenyewe kwa Visingizio vyovyote vile .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Huna kazi ya kufanya? Wakati JPM alikuwa anazi-cancel mbona hukunyanyua mdomo? Au kwa vile sahivi rais mzanzibari? Acheni ujuha? Hizo sherehe zinakusaidia nini> Unafaidika na nini km siyo ukuda tu. Sherehe ndio inalinda uhai wa Tanganyika? Shida yenu kila atakalofanya rais wetu mama Dr. Samia lazima mkosoe> Mkafie mbali nyau na wenzio
 
sasa unalia nini ?
 
Mkumbuke Tanganyika sio nchi but Zanzibar ni nchi kwahivyo msifananishe nchi na lieneo lililopo tuu lisilojielewa.
 
Leo 9 Disemba ni siku ya kumbukumbu ya Uhuru wa Tanganyika , Siyo kumbukumbu ya Uhuru wa Tanzania wala Tanzania Bara , kwahiyo upotoshaji wowote kuhusu sherehe hizi tutaupinga kwa nguvu zote bila kujali cheo cha mpotoshaji wala ukubwa wake

Mara kadhaa tumeshuhudia kuzimwa kwa sherehe za Uhuru wa Tanganyika kwa kisingizio cha ETI PESA ZA SHEREHE HIZO ZIELEKEZWE KWENYE HUDUMA ZA JAMII , Hivi huduma za jamii kama ujenzi wa mabweni na mengineyo hazitengewi bajeti ? kwanini hela za sherehe za Uhuru zipelekwe huko , nani kawatuma kufanya haya , kwanini ?

Kinachosikitisha ni kwambs , Wakati Watanganyika wananyimwa Sherehe za Uhuru wao , Wazanzibar ambao nchi yao haikumezwa na jina Tanzania wangali wanaendelea kusherehekea SIKU YA MAPINDUZI MATUKUFU kwa mbwembwe , hivi hawa mbona wao hawazuii sherehe kwa kisingizio cha kujenga mabweni , au watoto wao hawasomi ?

Sasa tunaanza kuona dhahiri nia ovu ya kuifukia Tanganyika na kuiinua Zanzibar , Nachukua nafasi hii kutangaza jambo hili kuwa miongoni mwa KERO MPYA ZA MUUNGANO , na jambo hili litatuliwe haraka .

Ni Utumwa na ni Aibu kubwa kwa nchi yoyote ile kupuuza Sherehe za Uhuru wake yenyewe kwa Visingizio vyovyote vile .

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
Hivi ilishawahi kutokea huko nyuma hizi sherehe za Mapinduzi kuahirishwa kweli? Maana ninahisi hao kupe wangelalamika mpaka basi.
 
Huna kazi ya kufanya? Wakati JPM alikuwa anazi-cancel mbona hukunyanyua mdomo? Au kwa vile sahivi rais mzanzibari? Acheni ujuha? Hizo sherehe zinakusaidia nini> Unafaidika na nini km siyo ukuda tu. Sherehe ndio inalinda uhai wa Tanganyika? Shida yenu kila atakalofanya rais wetu mama Dr. Samia lazima mkosoe> Mkafie mbali nyau na wenzio
Chuki huwa ina tabia ya kumrudia yule anayeianzisha, huyu mleta mada anawasha moto ambao hawezi kuuzima wala hajui utazimwa vipi.
 
Tanganyika ndio Nchi yangu, Sijawahi kuwa na Nchi nyingine
 
Akili zenu wanachadema sijui tusemejee, SHEREHE zimevunjwa Kwa faida au ni Kwa hasara, yaaani na wewe unashangilia mamilioni ya fedha yanategetea kununua mashati na kofia huku jamiii ikiwa shule hazina mabwenii?? Mimi nilidhani ungesemema hata hizo garama za mabinduzi bajeti take iangalie kutatua Tatizo la kijamiiii.
Mimi si Chadema lakini nimeelewa concern yake.
Vuguvugu la G55 linaanza kuamka tena kutokana na baadhi ya maamuzi tunayoyafanya .Fumbo la Tanzania linaanza kuteguka lenyewe...mimi leo nafurahia Uhuru wa Tanganyika japo mimi ni Mtanzania.
 
Hata Mimi💪👍
 
Tanganyika ilipata uhuru wake 9 desemba 1961, Tanzania ilizaliwa baada ya Tanganyika kuungana na Zanzibar.
Ulisema JPM alifuta sherehe za Uhuru wa Tanzania, na ndipo nikakuuliza Uhuru wa Tanzania ulipatikana lini, na sio Tanzania ilizaliwa lini!! Karibu!
 
Aliamua kwa mwaka ule sherehe za uhuru zisifanyike na pesa ikaenda kujenga barabara ya Morocco mpaka Mwenge.

Uhuru wa Tanganyika baadae ukaitwa uhuru wa Tanzania baada ya muungano wa mwaka 1964, kitu ni kile kile tatizo nchi yetu kila kitu kinaongelewa kisiasa zaidi.
 
Back
Top Bottom