Kufuta sherehe za Uhuru wa Tanganyika huku sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zikiachwa ni ishara ya kuiua kabisa Tanganyika. Hatutakubali kirahisi

Huna kazi ya kufanya? Wakati JPM alikuwa anazi-cancel mbona hukunyanyua mdomo? Au kwa vile sahivi rais mzanzibari? Acheni ujuha? Hizo sherehe zinakusaidia nini> Unafaidika na nini km siyo ukuda tu. Sherehe ndio inalinda uhai wa Tanganyika? Shida yenu kila atakalofanya rais wetu mama Dr. Samia lazima mkosoe> Mkafie mbali nyau na wenzio
 
sasa unalia nini ?
 
Mkumbuke Tanganyika sio nchi but Zanzibar ni nchi kwahivyo msifananishe nchi na lieneo lililopo tuu lisilojielewa.
 
Hivi ilishawahi kutokea huko nyuma hizi sherehe za Mapinduzi kuahirishwa kweli? Maana ninahisi hao kupe wangelalamika mpaka basi.
 
Chuki huwa ina tabia ya kumrudia yule anayeianzisha, huyu mleta mada anawasha moto ambao hawezi kuuzima wala hajui utazimwa vipi.
 
Tanganyika ndio Nchi yangu, Sijawahi kuwa na Nchi nyingine
 
Mimi si Chadema lakini nimeelewa concern yake.
Vuguvugu la G55 linaanza kuamka tena kutokana na baadhi ya maamuzi tunayoyafanya .Fumbo la Tanzania linaanza kuteguka lenyewe...mimi leo nafurahia Uhuru wa Tanganyika japo mimi ni Mtanzania.
 
Hata Mimi💪👍
 
Tanganyika ilipata uhuru wake 9 desemba 1961, Tanzania ilizaliwa baada ya Tanganyika kuungana na Zanzibar.
Ulisema JPM alifuta sherehe za Uhuru wa Tanzania, na ndipo nikakuuliza Uhuru wa Tanzania ulipatikana lini, na sio Tanzania ilizaliwa lini!! Karibu!
 
Ulisema JPM alifuta sherehe za Uhuru wa Tanzania, na ndipo nikakuuliza Uhuru wa Tanzania ulipatikana lini, na sio Tanzania ilizaliwa lini!! Karibu!
Aliamua kwa mwaka ule sherehe za uhuru zisifanyike na pesa ikaenda kujenga barabara ya Morocco mpaka Mwenge.

Uhuru wa Tanganyika baadae ukaitwa uhuru wa Tanzania baada ya muungano wa mwaka 1964, kitu ni kile kile tatizo nchi yetu kila kitu kinaongelewa kisiasa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…