Wakuu hivi mtu kesi yake ikiwa inaendelea mahakamani yeye akiwa nje kwa dhamana halafu ghalfa akafutiwa dhamana hiyo na kupelekwa rumande na huko akakaa kipindi chote kwa kusikilizwa kwa kesi mpaka siku ya hukumu.
Halafu hukumu ikatolewa kwamba hana hatia je huko kukaa kwake rumande inakuwaje? Yaani nataka kujua je atafidiwa au kukaa huko rumande ni adhabu ya kukiuka masharti ya dhamana?
Naomba nielimishwe hapa kuhusu hili.