Kufutiwa Dhamana

Kufutiwa Dhamana

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu hivi mtu kesi yake ikiwa inaendelea mahakamani yeye akiwa nje kwa dhamana halafu ghalfa akafutiwa dhamana hiyo na kupelekwa rumande na huko akakaa kipindi chote kwa kusikilizwa kwa kesi mpaka siku ya hukumu.
Halafu hukumu ikatolewa kwamba hana hatia je huko kukaa kwake rumande inakuwaje? Yaani nataka kujua je atafidiwa au kukaa huko rumande ni adhabu ya kukiuka masharti ya dhamana?
Naomba nielimishwe hapa kuhusu hili.
 
Ukishinda unaachiwa huru tu hakuna fidia yoyote. Ukikiuka unakamatwa kwa kuhofia unaweza kutoroka jumla jumla hivyo unawekwa kizuizini hadi kesi iishe
 
Yakipumbavu sana na hutekelezwa kishenzi na washenzi
 
Back
Top Bottom