Habarini wakuu, naomba niende moja kwa moja kwa mada.
Je kesi ikifutwa chini ya kifungu namba 255 kwa sababu ya kukosekana kwa ushahidi, je statement/s iliyokuwa imeshapokelewa na Hakimu kama ushahidi inaweza tolewa kwenye file la Hakimu pale kesi ikirudi tena police?
Asanteni