Kufutiwa matokeo iwe fundisho

Kufutiwa matokeo iwe fundisho

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba shule zote zilizofutiwa matokeo iwe fundisho kwa shule zingine, na najua tayari kuna dosari katka shule hizo naomba wachukuliwe hatua kuanzia uongozi wa shule, wasimamizi, Kwani hawnatofauti na wauaji.

Taifa linapata wataalamu wasio na sifa, mapendekezo ya hatua ni kama ifutavyo, wasimamizi wafukuzwe Kazi, wamiliki wa shule za private shule zifutwe, hii itakuwa fundisho.
 
Back
Top Bottom