Kufutwa JKT

Kufutwa JKT

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Nikija kupata uwezo nitafuta jkt kwani ni wasichana wanabakwa mno. Na waliolifuta hawakukosea.
 
argument yako ni very weak sir!!!!
 
Nikija kupata uwezo nitafuta jkt kwani ni wasichana wanabakwa mno. Na waliolifuta hawakukosea.

Wewe umekwenda JKT/ Uliliwa kwa kupenda au ulilazimishwa? Mie nimepita huko sikuona aliyeliwa kwa kulazimishwa ila kama utajirahisisha watu lazima wagonge mzigo! kama ilivyo popote pale
 
Nikija kupata uwezo nitafuta jkt kwani ni wasichana wanabakwa mno. Na waliolifuta hawakukosea.


Mkuu kwani hao wasichana unadhani hawaoni Raha ?

Au unadhani huwa wanabaka baka tu hovyo hovyo ?

BTW

hiyo ni sehemu ya maisha !
Na dem wangu mi akienda JKT hatuendelei tena ajue !

Uhusiano lazma nivunje !
 
upo mkakati mzito wa kuimalisha jkt hata kama nyinyi hampendi kisa dada zenu kuliwa? mtakuja kusema vyuo vikuu vifutwe kisa dada zenu kuliwa pia jkt haifutwa ng'ooo

Kuliwa chuoni ni maamuzi yake yeye ww,na si kama huo kwny upuuzi et tunawafunza uzalendo huh!!!! then wanalazimishwa mambo haya.

Tunataka suala hili tulifikishe ngazi za kimataifa ili hatua dhidi ya Tz zichukuliwe.

Kizazi cha ss hakiwezi kubadili mtazamo wa maisha na kuyakataa yale maovu yote.

Kuna hali tete sn huko kwa watoto wetu.
 
JKT ilifutwa kwa sababu kadhaa. Walioirudisha hawakujua kwa nini ilifutwa.
 
Mm kama mkuu wa mafunzo.nasema hiv.hawa mademu wanagongwa coz wapenda na wanaona raha.over.
 
Mi mwenyewe cpend kabsa huu utaratbu wa Jkt.kama vip ufutwe kabsa.
 
Siku jkt ikifutwa ntafanya sherehe kubwa,mtoto unamlea kwa shida unamkinga kila aina ya uovu,hlf anaenda kubakwa na kruta,tena aliyefel, yaan mwanangu aanze maisha ya mahusiano kwa kubakwa tena mtu asiyenafuture naye.
 
Back
Top Bottom