Kufutwa kwa matokeo darasa la saba !!!!

Kufutwa kwa matokeo darasa la saba !!!!

Matango

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
535
Reaction score
118
Wanafunzi waliofutiwa Matokeo wasiachwe.
Wamepotoshwa na watu wazima waliopewa mamlaka ya kuwalea na kuwasimamia.
Waliohusika wote wachukuliwe Hatua.
Hawa watoto wasiharibiwe maisha kutokana na utashi wa wakuu waliotaka kupata sifa kupitia migongo yao.
Jaribu kujiweka katika nafasi yao, kama ungekuwa wewe unafanya mtihani wa darasa la saba katika mazingira hayo na umri uliokuwa nao wakati huo.
Wasaidieni hao watoto !!!!!!
 
Ndo washaharibiwa tena
ila watakuja kuwa ma'expert wa cheating,imagine wakifika level ya degree
 
Shule za sekondari ni chache na walimu ni wachache then serikali ya sisiem lazima iwazamishe kuwa umeiba mitihani.
Ingekuwa kuna shule na walimu wakutosha basi wote wangeshinda.
Mtihani haukuvuja kabisa na ingekua hivyo habari zingekuwepo ata kabla ya kusahisha.
Serikali inawazika watu wake asa wale maskini kabisa.JK you are a demon.
 
Back
Top Bottom