Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaTumia akili ya kawaida tu, condom ukishaitumia na kazi yake imeisha utaendelea kuivaa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] baada ya hapo, Mpe jibu sasa!!Tumia akili ya kawaida tu, condom ukishaitumia na kazi yake imeisha utaendelea kuivaa?
Dah.... Kauliza swali nawe unamchapa swali... Safi sana [emoji13] [emoji13]Sasa cha kazi gani??
HahahaDah.... Kauliza swali nawe unamchapa swali... Safi sana [emoji13] [emoji13]
King'oe ukiweke kwenye droo, wakikumata kwa kosa hilo waonyeshe. Baada ya hapo usisahau kutujulisha kupitia hapa hapa mwisho wake.Wadau bado sijapata jibu mujarabu,yangu imexpire,je nikiondoa nikatembea bila kuwa nacho traffic anaweza kunikamata?
Mmmh watatukomesha.hyo service tag not requirement of the law..Kiweke tu maana traffic police wenu akiri zao wanazijua wenyewe.
Siku hizi wanacheki pia ile "service tag" kama unayo pembeni ya usukani na kama kilometers zinazosoma below recommended for next service. Kama huna hiyo tag au ipo na kms zimeshapita, kazi unayo. Pia wanaangalia miguuni. Kama una sandals, thate nyingine inahusika hapo. Weredi sana hawa viumbe kwenye suala la ukusanyaji wa mapato. TRA should emulate these guys.
Ni kama wanavyokukamua hela ya ''ukaguzi wa fire extinguisher'. Hata kama sio ''requirement'' as such, bado wanachukua tu. Wanadai sababu ya kukagua service tag ni kujiridhisha kwamba gari lako lipo katika required mechanical condition ili kukulinda wewe na raia wengine against potential accidents. Sawa na wanavyokagua taili na taa. Well, mapato yanaongezeka in the process mkuu.Mmmh watatukomesha.hyo service tag not requirement of the law..