Kufutwa kwa road license, je ni lazima ubandike kile kikaratasi kilichoexpire kwenye kioo?

Kufutwa kwa road license, je ni lazima ubandike kile kikaratasi kilichoexpire kwenye kioo?

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari wakuu,
Kufuatia serikali kufuta road license na kuihamishia kwenye mafuta,nilitaka kujua vile vikaratasi vya road license kilichoexpire utaendelea kukiacha kwenye kioo au unakibandua?
 
Kiweke tu maana traffic police wenu akiri zao wanazijua wenyewe.

Siku hizi wanacheki pia ile "service tag" kama unayo pembeni ya usukani na kama kilometers zinazosoma below recommended for next service. Kama huna hiyo tag au ipo na kms zimeshapita, kazi unayo. Pia wanaangalia miguuni. Kama una sandals, thate nyingine inahusika hapo. Weredi sana hawa viumbe kwenye suala la ukusanyaji wa mapato. TRA should emulate these guys.
 
Wadau bado sijapata jibu mujarabu,yangu imexpire,je nikiondoa nikatembea bila kuwa nacho traffic anaweza kunikamata?
 
Wadau bado sijapata jibu mujarabu,yangu imexpire,je nikiondoa nikatembea bila kuwa nacho traffic anaweza kunikamata?
King'oe ukiweke kwenye droo, wakikumata kwa kosa hilo waonyeshe. Baada ya hapo usisahau kutujulisha kupitia hapa hapa mwisho wake.
 
Ile inatakiwa kuwepo kwani ukinunu Gari Leo lazima uilipie kwa mala ya kwanza Gari baada ya hapo hulipii tena.
 
Kiweke tu maana traffic police wenu akiri zao wanazijua wenyewe.

Siku hizi wanacheki pia ile "service tag" kama unayo pembeni ya usukani na kama kilometers zinazosoma below recommended for next service. Kama huna hiyo tag au ipo na kms zimeshapita, kazi unayo. Pia wanaangalia miguuni. Kama una sandals, thate nyingine inahusika hapo. Weredi sana hawa viumbe kwenye suala la ukusanyaji wa mapato. TRA should emulate these guys.
Mmmh watatukomesha.hyo service tag not requirement of the law..
 
Mmmh watatukomesha.hyo service tag not requirement of the law..
Ni kama wanavyokukamua hela ya ''ukaguzi wa fire extinguisher'. Hata kama sio ''requirement'' as such, bado wanachukua tu. Wanadai sababu ya kukagua service tag ni kujiridhisha kwamba gari lako lipo katika required mechanical condition ili kukulinda wewe na raia wengine against potential accidents. Sawa na wanavyokagua taili na taa. Well, mapato yanaongezeka in the process mkuu.
 
Back
Top Bottom