Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

mzee mbona chenga hiyo ss9?
hiki ndo kipo kwenye TV Guide ya DSTV, BTW huku kwetu umeme hakuna so sijui kinachoendelea kama wanaionyesha kweli au la
 

Attachments

  • 1458744244591.jpg
    39.8 KB · Views: 20
hyo TBC2 si wanaona wachache mkuu, chukua mfano wa wenzetu Kenya game zao zote lazima uzione KBC hamna cha KBC one wala KBC two
nimeskia TBC Taifa wanasema maichi haitaonyeshwa wameshindwa kulipia gharama za kukopi toka tele chad
 
Majanga kweli. Nlikuwa nataka kuona jinsi pro. Samatta anavyotinga nyavuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…