stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
DSTV chanel gani mkuu?Kwa saa za bongo mechi itaonyweshwa saa 12 jioni kupitia dstv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DSTV chanel gani mkuu?Kwa saa za bongo mechi itaonyweshwa saa 12 jioni kupitia dstv
Mwenyewe naona wanaonyesha magorofa yaohiyo tv ya chad nayo mpaka sasa hamna kitu
mzee mbona chenga hiyo ss9?super sports wanaonyesha game ya Kenya vs Zambia; SS9
hiki ndo kipo kwenye TV Guide ya DSTV, BTW huku kwetu umeme hakuna so sijui kinachoendelea kama wanaionyesha kweli au lamzee mbona chenga hiyo ss9?
nimeskia TBC Taifa wanasema maichi haitaonyeshwa wameshindwa kulipia gharama za kukopi toka tele chadhyo TBC2 si wanaona wachache mkuu, chukua mfano wa wenzetu Kenya game zao zote lazima uzione KBC hamna cha KBC one wala KBC two
mara sjui wameleta tamthilia hii.....kumbe nao wababaishaji tu kama tbccmMwenyewe naona wanaonyesha magorofa yao
Matokeo umeyapata kutoka wapidk 20 bado 0-0
livescore game ishaanzadk ya 35bilabilaKwa saa za bongo mechi itaonyweshwa saa 12 jioni kupitia dstv
livescore game ishaanzadk ya 35bilabila
Hiyo prediction imezidi asilimia 100 sijui ndivyo inavyokuwa au makosa tu.
nana chaji yako inaishia