Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

Chad ipo chini yetu kisoka so lazima tuifundishe mpira hata huko kwao
 
Mtanange umekwisha, tunatoka kifua mbele, kupaki bus kwenye dakika za lala salama kumetusaidia
 
Hawa Chad wako nafasi gani FIFA ranking ya sasa?
 
Tbc ni jipu la kwapa hata mechi za nyumbani hawaonyeshi asante azam wamekua wakombozi wa taifa mf. Mechi ya twiga tbc walichuna azam wakaonyesha sijui ndo nin maana ya television ya taifa kazi kuonesha vichempat tu
Wanàonyeshaga live raisi akiwa Ana anakaguliwa silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…