Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana. Hongera taifa starsFT Chad 0-1 Tanzania
Afadhali,maana kuna huyu mwepesi kasema goooooo sijui ni nini.FT Chad 0-1 Tanzania
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu gambia au chadGambia ipo chini yetu kisoka so lazima tuifundishe mpira hata huko kwao
Gambia ipo chini yetu kisoka so lazima tuifundishe mpira hata huko kwao
huyo n mchawi tu...mtanange umemalizika kwa vijana wa anko magu kuwatumbua Chad kwa goli moja, sifuriAfadhali,maana kuna huyu mwepesi kasema goooooo sijui ni nini.
Sorry, Chad.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu gambia au chad
Ucjal mkuu naona furah ilizidi uwezoSorry, Chad.
Wanàonyeshaga live raisi akiwa Ana anakaguliwa silahaTbc ni jipu la kwapa hata mechi za nyumbani hawaonyeshi asante azam wamekua wakombozi wa taifa mf. Mechi ya twiga tbc walichuna azam wakaonyesha sijui ndo nin maana ya television ya taifa kazi kuonesha vichempat tu