Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

Kufuzu AFCON 2017: Chad vs Tanzania

Mtanange unaanza saa 17.40 kwa saa CHAD huku kwetu itakuwa ni 19:40 au Saa moja na dakika 40 za USIKU.

Kuweni subira bado kidogo tu mambo hadharani.
 
Mtanange unaanza saa 17.40 kwa saa CHAD huku kwetu itakuwa ni 19:40 au Saa moja na dakika 40 za USIKU.

Kuweni subira bado kidogo tu mambo hadharani.
Hii live update ni ya uongo hapa jamvini
 
Guyz mechi bado haijaanza kwa saa zetu ni kuanzia saa moja usiku
 
mapumziko now bado bilabila tumeendelea kisoka siku hiz
 
Humu naona tunalishana matango poli tu! Ngoja niangalie cartoon network.
 
Mkuu ni dk 26 bila bila
niko makini sana naifatilia kupitia FOTMOB app, nimeset na reminder kabsa so kikijiri chochote tutafahamishana hapa
 
Attachments

  • 1458746525801.jpg
    1458746525801.jpg
    25.9 KB · Views: 22
Back
Top Bottom