Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome huyu Wa chini,sasa cjui hizo dakika 34 za kipindi gani?tayari huko mbwana samatta dk 34
mapumziko now bado bilabila tumeendelea kisoka siku hiz
half time bado bhana kuna watu wanapotosha sahivi ni dk ya 42Sasa mbona wengine halftime wengine dk ya 34 tuamini lipi
ww acha kupotosha, hiyo reply nimeituma dk ya 34 ya mchezo ambapo Tz tulikuwa tunaongoza kwa bao moja la samattaMsome huyu Wa chini,sasa cjui hizo dakika 34 za kipindi gani?
Kn mtu juu huko kasema hadi half time ni draw,umeionaww acha kupotosha, hiyo reply nimeituma dk ya 34 ya mchezo ambapo Tz tulikuwa tunaongoza kwa bao moja la samatta
nkiipata ntaiweka hapaClips ya goal tafadhali