Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo US .. Unashindwa kufuatilia gemu online? Hadi unatuuliza sisi huku kigoma ambao nao tunafuatilia online kama weweMnanichanganya..na hata siwaelew..nipo hapa US sijui nimwamin nani
Ukiipate kesho?nkiipata ntaiweka hapa
www.tzchadfootball.comOnline kwa link zip
easy boy, mimi mwenyewe sipo Chad nasaka info. mtandaoni so nikikutana na chochote nnachoweza kushare na nyie ntakituma hapaUkiipate kesho?
Chad timu yao ipoje lakini?
Poa bro, nadhani itakuwa ishaanza kurusha fb. Pamoja tuombe ili angalau hii gemu tushindeeasy boy, mimi mwenyewe sipo Chad nasaka info. mtandaoni so nikikutana na chochote nnachoweza kushare na nyie ntakituma hapa
BTW hata wewe unaweza ukaituma hapa hiyo clip kama umeipata tayari
Kaka bado nini? Gemu ishaanza half time sasa hivi.. Chad 0: 1samagoalBado...???
Kipindincha pili sio?Tanzania 1 Tchad 0 samatta dk 47
Yes kipindi cha pili mkuuKipindincha pili sio?
Ha ha ha kwani wale jamaa wana wachezJi gani?Afadhari Samatta alivyotupia, wale jamaa wasimuone boyaboya